hahahaha!!! Umepatikana.. Pole mkuu.Aliniambia wewe saiz ndo wakumjua mungu
(Pindi namwambia tuombeane mema na mioyo yakufuta majonz niliyomsababishia kwenye kipigo)
Sijamtetea mkutehe... mbona unamtetea sana? Usije ukawa teja lake. Yeye ndiye anayejua kwa nini anafanya vituko. Hayo mambo ya kuwa anafanya ujana kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa "mdogo"? Au wewe ni mkubwa sana kwake mpaka unakuwa na hisia hizo? Hakuna kinachohalalisha ubazazi katika ndoa ila kama unadhani anasumbuliwa na ujana basi mwachie nafasi; akimaliza na akili ikishamkaa sawa umpokee mwendelee. Ni uamuzi sahihi kama "assumption" yako ni sahihi.
Yaani kila mwezi mara moja isipokuwa mwezi wa 10, 11 na 12 alifanikiwa walahu mara 2.Mwaka mzima huu umemgegeda 15 times tu???!!!
Lkn mbona sio mbaya?Yaani kila mwezi mara moja isipokuwa mwezi wa 10, 11 na 12 alifanikiwa walahu mara 2.
This is torture.
Kwa sisi wanaume, hiyo ni way below average.Lkn mbona sio mbaya?
Kila siku????Kwa sisi wanaume, hiyo ni way below average.
Kwa sisi tusiochepuka kei ni kila siku labda awe ktk siku zake ndio tunapumzika.
Ok, nimeongezea chumvi kodogo Ila hazipiti siku 2.Kila siku????
usisemehe hivyo mkuu la msingi nikushika imani usije badilikiwa mbele ya safari asePole sana mkuu,najarbu kuvaa viatu vyako ila nna ona ww n mvumilivu na mwenye mapenzi sana na mkeo,,mm upendo kwa mwanumke umepita pembeni achana na huyo mwanamke hana upendo tena kwako yaan kwa nnayoshuhudia sintokuja kuingia kwenye ndoa
Mkuu samahani sanaausisemehe hivyo mkuu la msingi nikushika imani usije badilikiwa mbele ya safari ase
Usipuuze hili neno, Fanyia kazi mapema.Siku moja nikaenda Moro ghafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa Moro; nilimdunda hatari. Tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane yaani ndo ukawa wimbo.
Dah!! PoleWazaz wangu wamdhafariki mkuu
Asante kwa ushauri
Huyu mdogo miwil sasa
Sàsa wewe endekeza izo tabia zake akulete maukimwi ndani nakushauri kama unawapenda wanao achana na uyo mwanamke sasa maana ni mpumbavu kweli, fikiria duniani apa ni nan anawwza kuwapenda watoto wako kama unavyowapenda ww then waza ndo mmekufa zenu kwa ukimwi future ya watoto wako nan ataisimamia? Ebu chukua hatua saiv n do it for your kids man utawaepusha pia kujifunza au kurithi upumbavu wa mama yao, pita ivi na zote, yaan et mke wa mtu anagawa alaf unaita uyo mke ata bible imeandikwa aachwe tu kwa kuzini,hakufai tena uyo acha kulea hatar ni bora ww uwepo kuliko watoto wako wawe mayatima, watateseka saana huoni hawa yatima mitaan taabu wazazopata je ndo ivyo unataka watoto wako waishi maana nna uwakika ipo siku utauliwa kwa maradhi ausumu au vyovyote kisa unawazuia wazinifu kuzini na mkeoMkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu