OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,065
Mtoa madam natumaini takuwa umepata muongozo.
Ukioa unamiaka 40 utatesa watoto wako ukizingatia lifespan ni miaka mingapi? Unakufa watoto unawaacha unategemea wife ata handle?Angalau kuanzia miaka40 kwenda mbele ila chini ya hapo kujitafutia matatzo tu
Kwanza sijaelewa ni ndoa ya dini ipi,pili ni wazi hakutakiHabari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO
Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3 hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban. Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye, upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu. Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake. Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa. Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu. Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa. Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii. Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.
Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.
Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Ningekuwa wewe ningeshaanza kumshukuru Mungu kwa kasiHabari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.

Hapo atakuwa anaishi "msukule" sio "Mke"Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Si anataka kuachwa muache mzee, usilazimishe kijani kuwa nyekundu, kwanini ubembeleze mapenzi, utakufa bure kwa kufosi mambo. Kwani bila ya yeye wewe hupumui, kifupi hana mpango na ww na ukilazimisha atakuja kukupiga tukio moja uione june-july
AminaBwana asifiwe
Hujamuelewa!Sasa ndo mwamba kaamua kuoa mwenye kipato na elimu..angalia yaliyomkumbaa.....hapa utabisha tu ila ukwel unaujua,ndo maana hata wenyew hawatak kucomment chochote maana wanajijua
Safi kabisa na akitafuta divorce yeye huyu ndugu anatakiwa alipokee hilo tena kwa furaha kabisa asioneshe unyonge wa kipumbavu.Kwanza namba nikujenge kiimani... Majaribio ktk Maisha ndo sehemu ya Maisha. Haijarishi kubwa kiasi gani lkn Mungu anajua unalimudu.. Katika kipindi hiki unachopitia mtafuta Sana Mungu maana ni kipindi cha kupimwa imani yako. Muda or time healed... Surrender all things to your God. Ndoa ni spiritual connection hivyo mambo Muombe Mungu tu ili ushinde jaribu.. Muda utaongea tu usiangaike kama divorce atatafuta yeye maana Wana washauri wao wa kubomoa.. Naamini soon utarecover na kuona Maisha mapya ya furaha na amani na kumsahau kabisa. Mungu atakujenga utainuka na kuwa na mafanikio makubwa... Maisha ya Mungu. Trust in God.
Hata akizipata zinaweza kutoweka au kupungua.kuishi na mwanaume hana hela ni kipaji
Thamani ya mtu siku hizi ni Service (huduma) unazotoa KWA hao wanaokuthamini,wanakupimia thamani na heshima kadiri unavyowapimia hizo huduma,huduma zako kwao zinaposhuka hata thamani Yako inashuka ,Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO
Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3 hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban. Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye, upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu. Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake. Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa. Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu. Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa. Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii. Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.
Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.
Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Ukioa unamiaka 40 utatesa watoto wako ukizingatia lifespan ni miaka mingapi? Unakufa watoto unawaacha unategemea wife ata handle?
Watoto wanapotea kwani ni hela,Jitahidi upate hata chumba uwachukue...mengine yatajipa. Usikubali kupoteza wanao