mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,832
- 45,766
Ni tamaa tu huwa zinatutawalaAnaudhi kweli...hivi huu uhalali wa kuchepuka kwa wanaume unatokea wapi??
Ni tamaa tu huwa zinatutawalaAnaudhi kweli...hivi huu uhalali wa kuchepuka kwa wanaume unatokea wapi??
And he is very proud as if ni kitu bora amefanyaHa haa mimi nikifanya mistake ya kipuuzi kama hivyo ni bora nikae kimya kuliko kuomba ushauri. Sasa hapo tunamshauri nini wakati anajua source ya tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amlaani awe hanithi hivyo hivyo. Ato.mbe huyo kimada tu maisha yake yote.Anaudhi kweli...hivi huu uhalali wa kuchepuka kwa wanaume unatokea wapi??
Hizi tamaa kwenu zinazidi eeh?!Ni tamaa tu huwa zinatutawala
Hivi inawezekana?Huyo dada wa nchi jirani ameshakutengeneza. Ndio maana ukiwa na mkeo hausimamishi.
Na iwe hivyo...Mungu amlaani awe hanithi hivyo hivyo. Ato.mbe huyo kimada tu maisha yake yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa wote tu ndugu, ukumbuke hatujit0mbi- na wake za watu vyuoni ndio mnat0mbeka kirahisi kweli kweli. Sema angaficha ujinga wake. Mchepuko hautakiwi kwenda beyond ndoa baana weHizi tamaa kwenu zinazidi eeh?!
Huu ushauri ni mzuri sana, asante kwa hiloMkuu Pole sana sana,wala hujawekewa Dawa,ni Kawaida tuu Mkuu,cha Msingi Mwmbie huyo Mwanafunzi mwenzako ukweli kuwa Umeoa,na Mpo na Yeye kwa Muda Tuu,jaribu kukumbuka Mazuri mliofanya na Mkeo,Fanya Mazoezi,Kula Vizuri,Muandaane,tokeni Muende hotel wawili tuu.
Pia jambo hili huwapata hata Wadada,Mdada anapopata Mwanaume nje nae huwa hivyo hivyo,kutosikia hamu ya Mapenzi na Mumewe,kama Kuna Baadhi ya Vitu alikuwa anavifanya vya kimapenzi kwa Mumewe husitisha...iko Pande zote Mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu mwisho anajaribu kujitetea kuwa wanaume wote tunachepuka...hatuwezi kufanya huu ujinga amefanya.Yaani kaharibu hlf anauliza as if hahusiki vile
Upo tu nachurale dada yangu, usiandamane sana 😉🙂😉Anaudhi kweli...hivi huu uhalali wa kuchepuka kwa wanaume unatokea wapi??
Inawezekana kiongoziHamna mtu aliyekuloga, una tatizo la kisaikolojia. Mbaya zaidi ni pale uliposhindwa mara ya kwanza alafu mke akaanza kukulaumu... Hapo ndipo kila kitu kilipoharibika...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajichanganya mwenyewe anahangaika na kutapatapaalafu mwisho anajaribu kujitetea kuwa wanaume wote tunachepuka...hatuwezi kufanya huu ujinga amefanya.
Sio uhalali, ni nature tu bibieAnaudhi kweli...hivi huu uhalali wa kuchepuka kwa wanaume unatokea wapi??
Ushindwe na ulegee. Badala ya kuniombea mema unalaani, no one is perfectMungu amlaani awe hanithi hivyo hivyo. Ato.mbe huyo kimada tu maisha yake yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kutuambia utumbo wake as if alichofanya ni sawa na kung'atwa na mbu apate malaria.Ni kwa wote tu ndugu, ukumbuke hatujit0mbi- na wake za watu vyuoni ndio mnat0mbeka kirahisi kweli kweli. Sema angaficha ujinga wake. Mchepuko hautakiwi kwenda beyond ndoa baana we
Angeficha tu upupu wake aiseee. Ndoa ni ndoa tu na iheshimiwe na watu woteTatizo ni kutuambia utumbo wake as if alichofanya ni sawa na kung'atwa na mbu apate malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app