Ndoa yangu inataka kuvunjika, nishaurini cha kufanya

Ndoa yangu inataka kuvunjika, nishaurini cha kufanya

Omba msamaha kwa mungu kama wew n mkristo,ukimaliza vunja ndoa uliyofunga na hyo mwanafunzi mwenzako kweny ulimwengu wa roho,maana wew na hyo mwanachuo mmeshafunga ndoa,zingatia ulikula kiapo cha ndoa ya mke mmoja kwa hyo ndoa ya kwanza umeshaiua na wew sio mwili mmoja tena na mkeo wa ndoa bali n mwili mmoja na huyo mwanachuo.
 
inawezekana huyo wa nchi jirani huwa anakunyanyia michezo mibaya ambayo huthubutu kumuomba mkeo akufanyie, pole sana...skia zima data kamuombe gemu mkeo
 
Omba msamaha kwa mungu kama wew n mkristo,ukimaliza vunja ndoa uliyofunga na hyo mwanafunzi mwenzako kweny ulimwengu wa roho,maana wew na hyo mwanachuo mmeshafunga ndoa,zingatia ulikula kiapo cha ndoa ya mke mmoja kwa hyo ndoa ya kwanza umeshaiua na wew sio mwili mmoja tena na mkeo wa ndoa bali n mwili mmoja na huyo mwanachuo.
Sina ndoa nae na anajua nina mke na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu kimbia, mkimbie shetani utakuwa huru. Huo mchepuko haukufai, wewe si wa kwanza kuchepuka ila kwa hali uliyofikia usikubali kuvunja ndoa yako.... umependana na huyu mchepuko ni kwa sababu ya mazingira tu... hujamchunguza na inawezekana hana sifa za kuwa na wewe! achana nae.. rudi kwa mkeo
 
Upo tu nachurale dada yangu, usiandamane sana 😉🙂😉
ndo maana kisaikolojia tukirudi home tuko poa tu
😉😉😉 dah! mshkaji kaingia cha kike, kala dude kharamu lisiloliwa 😉😉😉
Vitu vingine ni kuviendekeza tuu aisee...na hii imeshakua like mwanaume kukamilika lazima achepuke..
 
Siku zotr nawambia Acheni ujinga wenu wakuchepuka mnajifanya kuniuliza...Umeoa????.

Sasa mkishapatwa na matatizo mnaanza tena kusumbua watu.

Subiri ugongewe mke ndio akili ikukae.

He would exclaim "Aahh" looking on himself...ndo ww sasa !!!.
 
Back
Top Bottom