Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Na upite tu jamaniNi wakati tu shoga yatapita
Na upite tu jamaniNi wakati tu shoga yatapita
Hii ndoa si imegungwa juzi tuu hapa,! Tatizo la wanawake ni wabinafsi,kumgonga tuu beki tatu mara moja kuna tatzo gani? Hata hivyo si umeambiwa alipeleka sabuni sasa shida iko wapi?Ndoa yenyewe uliipata kwa taabu ukikurupuka inavunjika sijui utaanza kutafuta tena! Yaangu macho.Hapo umeshasalitiwa lakini kausha kama vile hujaona ili uendelee kufaidi tunda. Ukileta hasira utaishia kuondoka mwenyewe na utamuacha house gal aendelee kujilia vya kwako taratiibu! Pole kwa kusalitiwa. Inauma lakini utafanyaje? Dunia ya leo 'kila mtu' msaliti...
Lugha zimegongana hapo kuna walakini!Yawezekana mr ni mkweli ila binti kaogopa kukwambia alipeleka sabuni bafuniWadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz
Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
😀😀Hii ndoa si imegungwa juzi tuu hapa,! Tatizo la wanawake ni wabinafsi,kumgonga tuu beki tatu mara moja kuna tatzo gani? Hata hivyo si umeambiwa alipeleka sabuni sasa shida iko wapi?Ndoa yenyewe uliipata kwa taabu ukikurupuka inavunjika sijui utaanza kutafuta tena! Yaangu macho.
Huyu ni mtunzi mzuri sana wa story, nikikumbuka kuanzia wakati wa shahawa zinazomuunguza ni chai tuuu mpaka sasa.