Njema kabisa...Asante shoga, za siku?
hajasaritiwa bn ameshaerewaMmh ...hapo bado unajiuriza kama haujasaritiwa jamani???
Hebu usijitie huerewiii shosti..

Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz
Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
Mapya hela zimepungua shoga anguMapya
MoniccaHUYU MONICCA NDIO NANI MBONA KILA MTU IS LIKE :
"Monicca is back.. Monicca is back "
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Huyu ni mtunzi mzuri sana wa story, nikikumbuka kuanzia wakati wa shahawa zinazomuunguza ni chai tuuu mpaka sasa.ukidanganya usiwe msahaulifu,,,,kuna siku ulisema mmeachana na hutaki tena ndoa
Sasa kuna tofauti gani kati ya hayo maneno mawili uliyoyaandika?Ni kusalitiwa sio kusalitiwa.
Ni kwel kabisa labda yule mpya aliempata maana alidumu kwenye ndoa kwa mwez tu akasema imemshindaushauri mzuri ila i dont think kama unamjua vizur huyu drama queen anaitwa monicca mama wa telemundo, sijui hii ni episode ya ngap ila namkumbusha amesahau alipoishia last time kuwa kaachana na mumewe sasa kumfumania huko tena vepee
Unamjua Monica lakin mama?Pole my dia
Piga moyo konde let it go ila ch kufanya huyo dada wa kazi rudisha kwao haraka hat kesho asubhi abebe virago vyake kwao mbigili haraka unless otherwise unafunga chatu ndani atakumeza mzim mzima!!usilie lie hapa sikuhz wanawake hatulii tunapambana na hawa viumbe so called wanaume wachepukaji
Usilete tena housegirl ,fanya kaz zako mwenyew,kama una mtoto mdogo pelka day care!!pikapakua,osha vyombo na kila kitu tupa sis watz tunajiendekeza eti msichana wa kazi uvivu tu umetujaa,mbona wazung hawana hzo mambo z mdada kukaa hapo home!!
FUKUZA KESHO ASUBH SHOSTITO
Pole sana. Siku zote msaliti hawezi kujisema hata umbane vipi lbd km una ushaid wa picha, video au uwakute live wanagegedana. Ila utagundua utofauti wa majibu.Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz
Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
Habari yako mkuu!Ameanza
Umeongea full Point kingz barikiwa sanaHapo umeshasalitiwa lakini kausha kama vile hujaona ili uendelee kufaidi tunda. Ukileta hasira utaishia kuondoka mwenyewe na utamuacha house gal aendelee kujilia vya kwako taratiibu! Pole kwa kusalitiwa. Inauma lakini utafanyaje? Dunia ya leo 'kila mtu' msaliti...