Ndoa yangu ina dalili za usaliti

Ndoa yangu ina dalili za usaliti

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz

Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
 
Hapo umeshasalitiwa lakini kausha kama vile hujaona ili uendelee kufaidi tunda. Ukileta hasira utaishia kuondoka mwenyewe na utamuacha house gal aendelee kujilia vya kwako taratiibu! Pole kwa kusalitiwa. Inauma lakini utafanyaje? Dunia ya leo 'kila mtu' msaliti...
 
Kwanini na wewe usimtokee huyo beki tatu uanze kumpa mambo hadi amuone mume wako kero tu......awe anakuwaza wewe tu muda wote
 
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz

Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
Wewe una bahati ya mtende,house girl anakusaidia kazi nyeti,vinginevyo mme wako angeenda kuopoa mabwabwa nje akuletee ngoma,mnunulie zawadi huyo house girl ni lock ya nyeti za mmeo.
 
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz

Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
ukidanganya usiwe msahaulifu,,,,kuna siku ulisema mmeachana na hutaki tena ndoa
 
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz

Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
Sweet nilikumis ujue
 
We kitanda chako asubuhi kwa nini uliondoka hakijatandkwa?

Unaruhusu vipi binti wa kazi aingie chumbani kwako?
 
Tuambie ukweli,kwani wewe haujawahi kumsaliti toka mjuane au ndio kwa mwenzako?
 
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz

Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr akiwa anaoga bafuni nilipo muhoji msichana alinijibu kuwa aliambiwa atandike kitanda na mr wangu,nilipo muuliza mr kwann yule binti yuko pale akanijibu alimletea sabuni, je hapa sijasaritiwa kweli?
Ni kusalitiwa sio kusalitiwa.
 
Kama hata kitanda chako huwezi tandika inategemea nn utasaidiwa kila kitu kha!
 
Back
Top Bottom