Ndoa yangu imeanza kuingia kirusi cha aina yake

kwa hisani ya watu wa marekani, vunjeni ukimya ambao naona unaanza kuja baada ya uwazi wa muda mrefu. kwani hizo dawa zilikuwa nyingi kiasi gani? kama ni nyingi si angeanza kufa yeye? mbona wewe huwa unazinywa? kwani hujazinywa kwa muda gani? pia suala la kusema hataki mimba sasa hivi ni uzandiki. ndi omatatizo ya muunganiko wa kiserikali. mahusiano yenu yamekaa kiserikali zaidi. mmepanga bajeti ya wizara yenu mkaona kuwa ni finyu, sasa mnataka kukatili mambo mengine (uzazi) kisa kusingizia wife hana ajira. kaa nae vizuri kwani huyo ni mkeo na hata akipata mimba hakuna atakayewauliza
 
Sioni dalili za kutoa mimba hapo sioni dalili za migogoro katika ndoa ..Ongeeni kwa utulivu muyamalize
 
The simplest thing you should have done is a pregnancy test. Kama una wasiwasi mpeleke kwa gynocologist
 
Ndoa ya serikali nayo ndoa???
Ndoa ya serikali ni ndoa za msimu tu kukamilisha paper.
 
Mkuu wewe una wasix2 sana, usiombee umfumanie mkeo -unaweza kufa bila hata kuugua au uhisi ana cheza off side trick unaweza mgeuza butcher kumbe ni inocent.
 
Mkuu wewe una wasix2 sana, usiombee umfumanie mkeo -unaweza kufa bila hata kuugua au uhisi ana cheza off side trick unaweza mgeuza butcher kumbe ni inocent.

Tatizo ndoa aliyo funga hiyo.
Alikuwa anataka makaratasi nn ili mipango yake itimie?
 
Akaniambia hajui, ila baada ya kumbana akakiri kua yeye ndo alokula hizo dawa kwani alikua anahisi maumivu makali kwenye kizazi hasa anapokua anakojoa. Nikamuuliza kulikono unaumwa lakini hukutaka nijue? Akasema aliogopa kwa sababu mimi hua namkataza kula dawa bila kushauriwa na daktari.

Kuwa makini na mabadiliko haya ya tabia (kutoka kwenye kuwa muwazi na kuanza kudanganya) whether kuna mimba imetolewa ama la. Najaribu kujiuliza ni kwa nini hakukwambia hayo maumivu (ugonjwa) au kwenda hosp na badala yake akaishia kubugia madawa tu? Kama kuna shida kwa upande wako ni vema mka sort hali hiyo mapema la sivyo itakugharimu baadae.
 
Naona roho mtakatifu anatenda kazi... (umekubali chiaz ya chai leo..)
Hahahahaha! Sitasali kwa wiki tatu. Hii baraka uliyonipa najihisi nina nguvu za upako kama Yohana Mbatizaji.

Ubarikiwe mtumishi wa Mungu (nna kakiu kakali sana ka bia):lie:
 
Hahahahaha! Sitasali kwa wiki tatu. Hii baraka uliyonipa najihisi nina nguvu za upako kama Yohana Mbatizaji.

Ubarikiwe mtumishi wa Mungu (nna kakiu kakali sana ka bia):lie:

Utakuwa unampa ibilisi nafasi... kuna weldi kapu, which will lead to Serengeti, then INFIDELITY...:disapointed:
 
Utakuwa unampa ibilisi nafasi... kuna weldi kapu, which will lead to Serengeti, then INFIDELITY...:disapointed:
Sasa unaweza kumruhusu Mtumishi wako aende kwa amani? (Mechi inakaribia kuanza ujue)
 
Utakuwa unampa ibilisi nafasi... kuna weldi kapu, which will lead to Serengeti, then INFIDELITY...:disapointed:
much better!kuliko kuangalizia nyumbani!unaweza jikuta unaongeza familia bila kutarajia:A S tongue::ranger:
 
Sasa unaweza kumruhusu Mtumishi wako aende kwa amani? (Mechi inakaribia kuanza ujue)

Nenda kwa amani mtumishi... Bia zote ziwe chungu kama mwarobaini na Roho mtakatifu abihevishe baiolojia yako
 
Back
Top Bottom