ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,383
unamtetea mpagani kwa aliye mkristo kamili anaelewa ndoa ya bomani haitambuliki na hata kukomnika bado utakuwq mzinzi. watoto hawata batizwa kwasababu hamtambuliki kikanisa.daaaah, wadau nimejaribu kufuatilia majadiliano kimsingi naeza nikasema yote hivi, ila nazidi kupata kigugumizi hasa kwa aliyeleta mada hii kwamba kuna wanaomsapoti na pia kuna wanamhepa wakisisitiza ndoa ya kanisani, ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba, hili jambo ni la watu wawili yaani wanaotaka kuingia ktk maisha ya mume na mke, na sasa kwa kuwa ni la watu wawili yan kama kilingana na maridhiano yao wawili ni kufunga cjui ya kidini wafunge tuu, kama ni ya kiserikali au kimila its ok wafunge tuu ilimradi wote wawili wameridhia huku Mungu wakimtanguliza mbele kwani Mungu sisi sote ni watoto wa kwake yeye na habagui na hata hivo mkisharidhia na kufunga ndoa na kuwa mke na mume, anayependa na asiyependa wote watabadilika na kuwa kitu kimoja yaan wanie mamoja iwe ni wazazi au ndugu wengine mana hakuna jinc tena kwan walioana cjui kidn , kiserikali au kimila wote wana ndoa tena halali na wao kama wao gurudumu la maisha liko mikononi mwao na si vinginevyo. niwapongeze wote kwa mjadala mzuri na wenye hekima na busara ndani yake na nimpongeze pia mwenye kuleta mada nimejifunza mengi. pamoja sana.
hivo utakuwa unafuga familia ya kipagani bila kujijua.