Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
 
Ha haa hebu muacheni monii wawatu huko...
HUYU MWENZIO KAJITAKIA.. hakufanya ufikiri kwanza kabla ya kujitapikia. hivi kweli siku 4 wewe unaweza kuibuka hadharani na kujitangazia eti umefika?? YAANI hata zile 7 za fungate hazijaisha tayari mtu kakurupuka!! hii ni shidda.. inawekezana kichenpati hakupata kama alipata huyo kungwi wake nae ni SHIDDA.
 
Kitchen party ilikua miaka ileee.... Sio sikukuu
 
Hivi hakuna sheria ya ku compensate mahari tukuozeshe jumla jumla? Mume anarudishiwa gharama zake kisha unapiga shoo nyingine kwa waliochangia harusi ya kwanza waje kula na kunywa bure kwa kiingilio cha kadi za mwanzo!
 
Back
Top Bottom