naijua kapo moja tuko nayo hapa kipunguni.....mshua anafuga kuku na wife anauza vitenge kariakoo.......ila siku moja usiku mwingi walikuja wakora kuchukua mayai basi walitoka wote wamevaa kaptula na vest.. mama kashika sime na baba panga na kwa action lilitolewa kwa yule mkora kwa wanasheria watanisaidia maana haikuwa mob justice ila ni "kapo justice"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.