rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Wanasheria naomba msaada wenu.
Hivi kama mtu ana ndoa ya kanisani(RC) na baadae akaenda akafunga ndoa kiserikali(civil) je
1)kote huko anapata vyeti?Maana nasikia kote huko vyeti vinavyotolewa ni vya serikali na je is it illegal
2)Je mpaka sasa hatujawa na uwezo wa kujua kuwa mtu huyu mwenye jina lile lile anaoa au kuolewa tena?
ASANTENI.
RE.
Kote huko anafunga ndoa na mtu huyo huyo ama watu tofauti?Wanasheria naomba msaada wenu.
Hivi kama mtu ana ndoa ya kanisani(RC) na baadae akaenda akafunga ndoa kiserikali(civil) je
1)kote huko anapata vyeti?Maana nasikia kote huko vyeti vinavyotolewa ni vya serikali na je is it illegal
2)Je mpaka sasa hatujawa na uwezo wa kujua kuwa mtu huyu mwenye jina lile lile anaoa au kuolewa tena?
ASANTENI.
RE.
Ninaishi mtaa mmoja na jamaa ambaye alianza na ndoa ya serikali, akapata cheti,
Akaoa kiislamu, akapata cheti,
Na sasa Mkesha wa Pasaka juzi ameoa Kikatoliki, na amepata cheti!
Ukiongelea mambo ya kujulikana kwa kutumia majina broda hapo unaongelea kompyuta, , huenda hujatembelea ofisi za serikali kwa mfano kabidhi-wasii, ambako mafaili yamelundikana toka miaka ya 1950, na hakuna mfuatano wa kumbukumbu.
Ofcourse ni makosa kuwa na vyeti zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja, maana holder anaweza kuvitumia vyote kwa malengo fulani mabaya!
Ni mwanamke mmoja tu anayehusika kote!Dah PJ huyo mtu ni noma. Wake wengine walikuwa anawaacha kila anapooa tena au?
sheria inatambua ndoa za aina tatu
1. kidini
2. kimila
3. kiserikali
mchungaji au sheikh anapotoa cheti cha serikali hutoa kama wakala wa serikali katika ufugishaji wa hiyo ndoa na hata yale mashartu ya kutangaza siku 21 ni ya serikali na sio ya dini
kama ilivyo kwa ubatizo, kipaimara nk, mtu akifunga ndoa kanisani anapewa cheti cha kanisa (kwani ndoa ni koja ya sakramenti za kanisa) pamoja na cha serikali. ukifunga ndoa serikalini pekee, utapata cheti kimoja cha serikali pekee na siku ukitaka "kuibariki" ndoa yako (kama wafanyavyo wakatoliki wengi) kwa kuongeza na rites za kidini, basi kanisa/msikiti wako utakupa cheti kingine ambacho ni cha kidini na hakikomeshi wala kuharamisha (don't render void) cheti ulichopata mwanzo cha serikali
lakini kisheria, ndoa iliyofungwa kwa aina yoyote kati ya hizo tatu hapo juu inatambulika
Kote huko anafunga ndoa na mtu huyo huyo ama watu tofauti?

Ni kwamba kama ulioa kisheria na kupewa marriage certificate whether kanisani, msikitini au kwa mkuu wa Wilaya, unaruhusiwa kisheria iwapo huyo mkeo wa kwanza mmeachana kisheria Mahakamani (divorce) na si kwamba leo umeoa, kabla ya divorce unaoa tena na kupewa cheti cha ndoa! hiyo hairuhusiwi labda muhusika asiweke wazi na awe hajulikana katika eneo hilo na ukigundulika unshtakiwaWanasheria naomba msaada wenu.