Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Disko gan nimeenda dada?! Una risiti ya Mimi kwenda disko??
Misele sio disko
Unajua ukishakuwa unaishi kwenye YAI, kujua yanayoendelea nje ya YAI NI NGUMU Sana, na hata ulitaka kuyajua unakatazwa na kukemewa kwa nguvu maana NI dhambiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa anti wewe endelea kuishi kwenye YAI mpaka YESU aje akuchukue mawinguni

Tuache Sisi tunaoishi nje ya YAI, tuendelee na maisha, mwisho wa siku mahesabu NI Mbinguni

Like the Bible says, WA mwisho sikuzote atakuwa WA Kwanza, usishangae Malaya akaongoza Kwenye Kiti cha Enzo lakini nyie mnaojiita watakatifu mkafungiwa mlango WA Mbinguni

Malaya Huyo Huyo unaemsema kumbuka Kristo alikufa Kwa ajili yake

Ngoja tuendelee kukufaidi Dunia we kaa kwenye YAI kwanza
 
Hizo lugha za mlima wa moto ni hatari kweli kweli. Anyway, nilikuwa najaribu kuona ni aina gani ya mtu najadili naye. Nitarudi

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Defeated son of Man πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkajipange upya waumini WA Mchungaji Gwajima

Hamkujua kuwa Injili ilianza kwetu Sisi akina Penny eee?!
Ilooooo umezodoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bye Ashes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
A we siji huko utanifanya mbuzi wa kafara sina hela sahivi mpaka korona iishe😜
Nisije kukufungulia uzi humu bure nikikufananisha na forex!!
Unanifungulia Uzi Kwa lipi?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wenye characters kama zako walishakujaga wakaangukia pua Kila wakipiga simu anapokea wasiemtegemea
Sasa hivi wananiheshimu wote na kuniita Madam au Dada Lao au Mama LaoπŸƒπŸƒπŸƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ͺ
 
Mi naakili kuwazidi hao😜
Ndio maana nikaona isiwe tabu..

Lakini nisingekutongoza hofu yako tu kwani hutaki rafiki..??
 
Ndoa zao ni za kichovu sana sana. Maigizo ni mengi.

Hata ukitaka kufanya unyumba, eti lazima bwana wa majeshi aulizwe kwanza.
 
Defeated son of Man

Mkajipange upya waumini WA Mchungaji Gwajima

Hamkujua kuwa Injili ilianza kwetu Sisi akina Penny eee?!
Ilooooo umezodoka
Bye Ashes
What for? Mimi sijadili na mtu mwenye lugha za kikahaba, labda nikufundishe tu. Andiko lako ni very empty wala halina mashiko tena ni jepesi tu kulichana chana. Baseless arguments based on fake assumptions

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mi naakili kuwazidi hao😜
Ndio maana nikaona isiwe tabu..

Lakini nisingekutongoza hofu yako tu kwani hutaki rafiki..??
Nina MARAFIKI laki 5 kwenye website yangu na wanaongezeka Kila siku
Wewe hutokuwa WA 1 wala wamwisho
 
Ndoa zao ni za kichovu sana sana. Maigizo ni mengi.

Hata ukitaka kufanya unyumba, eti lazima bwana wa majeshi aulizwe kwanza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ
NI Muhimu kumshirikisha Mungu kwenye kufanya Mapenzi unajua
 
What for? Mimi sijadili na mtu mwenye lugha za kikahaba, labda nikufundishe tu. Andiko lako ni very empty wala halina mashiko tena ni jepesi tu kulichana chana. Baseless arguments based on fake assumptions

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
IloooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna aliejaribu akafaulu lakini
Ndivyo nachojaribu kukueleza
πŸ™„πŸ˜œ
Kwangu ni hakuna mkate mgumu mbele ya chai nikitaka nakukula tu maana siji unavyodhani!! Nakuja kiyesuyesu mbona utatoa tuπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…