kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,060
- 15,274
msalimie vick kamata
kwasasa ni mjumbe wa kundi maalum la ukawa!!!
asante nimekumbuka nilimuona kwenye picha akichanganya mchanga wa muungano!si amezeeka sana!hv sasa ni mkulima?Alikuwa wazir wa maendeleo awamu ya kwanza
halafu wanampenda Mungu 100%
asante nimekumbuka nilimuona kwenye picha akichanganya mchanga wa muungano!si amezeeka sana!hv sasa ni mkulima?
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
Sasa huo ndo tunaita unafiki!Yaani mara tu baada ya kusikia kuhusu kashfa ya Emmanuel Mbasha unakuja na thread kama hii?Ebu acheni unafiki usio na maana bwana!!!!!!Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
halafu wanampenda Mungu 100%
Flora mbasha ndo nani?naomba mtujuze au ni mbunge?
Are you serious mtoa mada?
Kumlazisha???? Alimbaka kabisa....Tafuta gazeti la mwananchi usome....Huyo jamaa wanadai mi.muhuni sema ni msiri sana..