Ndoa ya flora mbasha ni ya mfano

Ndoa ya flora mbasha ni ya mfano

Status
Not open for further replies.

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
 
Si nimesikia tetesi kua huyo bwana kapata msala wa kumuingilia mdogo mtu bila ridhaa yake?!
 
Hapo unasifia kuwa hawapati scandal au unajilaumu kwa uzembe wako wa kutosimamisha masikio kusikiliza scandal? Au umetumwa kupima upepo?

Kuna mmoja wa wanandoa hapo SEGEREA inamngoja kwa hamu...
 
Hiyo couple ya ukwee sana, wanaishi kama mtu na rafiki ake like like them
hayo mengine ya kawaida tu kuku wenyewe hawaongei ila wanagombana....
 
huyu mume wa Flora ni marioo tu hana lolote halafu anapenda sana watoto wadogo kiukweli anamuaibisha mkewe sijui hmarithishi
 
Mleta uzi ametumia lugha ya kusanifu ni lugha ambayo ni chokozi ili kupata habari za skendo inayoendelea kwa sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom