Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 787
- 325
Me nilidhani utakuwa unafurahia cha asubuhi!! kina namna yake ugegedapo
We unadhani hii furaha ni ya breakfast!? Kwao pia ilikuwepo hii ni complement ya mgegedo wa asbh..... ..
Me nilidhani utakuwa unafurahia cha asubuhi!! kina namna yake ugegedapo
Yani imekua taabu jaman..hata wakioga watatupa updates
2 in 1 mumie
kumbe! Hongera zenu mwaya, utamu uendelee hivyo hivyo usikatike.
Mdada samahani, embu sogea nikuume sikio!?
mshana jr mengine yabakishieni mkishatoka honey moon maana mtakua hamna jipya lol
Me nilidhani utakuwa unafurahia cha asubuhi!! kina namna yake ugegedapo
sina shida mimi! Nataka kukuuliza tuhuma za Arushaone kuhusu umasogange kama ndicho ulichompendea?
Ahahahaha jirani kwanini unasema hivooowe na mumeo mngekuwa mnafanya hayo...kusingekalika hum ndani
Kama umeolewa hivi karibuni hongera wacha ifike miezi 6