Ndoa raha bwana ukipata ubavu wako

Ndoa raha bwana ukipata ubavu wako

Ongera yako
Wengine huku ni full Majanga.
Mme anachelewa kurud nyumban? Akirud Kalewa chakar? Hatuwezi hata kukaa tukajadili Maisha.
Hujakaa sawa kesho wanakuja watu ntumban wanamdai fedha!
Yani we acha tuu ni Shida tupu.
Huja kaa sawa umekula ngumi
 
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Duvido muito oque está dizer!
 
Hongera sana mkuu, bila shaka umeoa usukumani. Endelea kula maisha matamu kwa kuwa ulifanya uamuzi sahihi miaka 12 iliopita, kuna wanawake wana adabu na unyenyekevu sana ukijumlisha na upendo basi raha tu.
 
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Ndoa nitamu ukiwa mtu wakusamehe samehe, kusahau asie kua na msimamo, malengo ya maendeleo, mwenye hofu ya Mungu ilio zidi.......otherwise ndoa 'Hapana'.... ukiwa namalengo mahususi wanawake nimtihani, sio wakutegemea sana hata ukikaa nae miaka 10, one day atakujaribu tu akuone.
 
Kuoa mtu sahihi ni Kama bahati tu, pia mwanaume hatakiwi kutabirika,
 
Ndoa nitamu ukiwa mtu wakusamehe samehe, kusahau asie kua na msimamo, malengo ya maendeleo, mwenye hofu ya Mungu ilio zidi.......otherwise ndoa 'Hapana'.... ukiwa namalengo mahususi wanawake nimtihani, sio wakutegemea sana hata ukikaa nae miaka 10, one day atakujaribu tu akuone.
Mimi naona una matatizo ya kisaikologia sio bure kwa sababu wewe unawaza mabaya tu kwa wanawake. Kama ni malengo ya maendeleo mwanamke hakupingi hata siku moja mwamke anayekupenda. Una mentality ya kwamba wanawake wasumbufu wakati hakuna ambaye sio msumbufu hats wew mwenyewe una tabia inayokera umekosa jambo moja hujui namna ya kuishi naye
 
Siyo kutamba nimeamua kusema ukweli na point ya kwanza ni imani yenu kwa mungu mwanamke asiyemjua mungu ni matatizo katka ndoa
acha uongo wako, hujayajua maisha kwanza una Dini gani kila saa unarudia kuandika jina la Mungu wako mungu hujui ni kosa?
km una mtoto hana miaka 9, hujapata masaibu ya kusomesha ndugu pande zote, kuwapenda wakwe, kuwajengea na mitihani kibao
usitambe na kumkufuru Mungu kwani umeambiwa ishi nao HAWA kwa akili
Mwanamke ni mjanja kuliko wewe, na huenda amekamata akili yako ukaona Wachungaji kuwasifia ukaona uko salama
usijerudi mikono kichwani kwa kumdhihaki Mungu
 
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
teh..teh...teh... miaka kumi bado midogo sana kuijua ndoa.
ukweli ni kwamba wanandoa wengi wanaishi wa kuvumiliana na sio kupendana.
kwa sasa bado uko kwenye thamthilia changamoto zinaweza kuja pale kipato kitakapo panda au kushuka.
 
Hongera sana mkuu, bila shaka umeoa usukumani. Endelea kula maisha matamu kwa kuwa ulifanya uamuzi sahihi miaka 12 iliopita, kuna wanawake wana adabu na unyenyekevu sana ukijumlisha na upendo basi raha tu.
Unataka kuniambia kila nikikutana na dada wa kisukima nimekutana na mpinzani wangu? Hawa watu huachi kuwasifia
 
Ni kweli mkuu...cha muhimu ni kuziba macho tu pale kitu kizuri kinapokaribia machoni mwako
Sio kweli ndoa zote zinaribiwa na umalaya wa mmojawapo, mnapomcha mungu mnakingwa na majaribu Mengi nyote mnajua ndoa imebeba mambo Mengi tens mazito
 
Naunga hoja mkono na miguu....sijuwi wanaume wenzetu wanafeli wapi
ukiona ndoa imetulia kuna uwezekano pia mmoja sio mwaminifu, lakini ndoa imara lazima ipitie changamoto kwa hiyo changamoto tuo kukomaa kwenyewe na muda mwingi wanandoa wanaishi kwa kuvumiliana zaidi.
 
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Hapo kwenye uaminifu ndipo hasa penye ndoa,na uaminifu katika ndoa sio tu kuhusiana na uchepukaji ni uaminifu kwenye kila kitu...
 
Back
Top Bottom