Ndoa raha bwana ukipata ubavu wako

Ndoa raha bwana ukipata ubavu wako

nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
sasa hawa wanaosemaga kuna tabu kwelikweli huwaga wanapatwaga na nini? hongera mkuu.
 
Sio kweli ndoa zote zinaribiwa na umalaya wa mmojawapo, mnapomcha mungu mnakingwa na majaribu Mengi nyote mnajua ndoa imebeba mambo Mengi tens mazito
Hakuna mtu asiyependa vitu vizuri mkuu,sema kuna sababu nyingi zinazotufanya tufiche hisia zetu;inawezekana kuwa na wasiwasi wa kukataliwa,kipato,aibu n.k
 
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.

Hongera Mkuu umenizidi mwaka mmoja tu mimi nimetimiza miaka kumi ya ndoa
 
Tuna miaka 30 ya ndoa lakini ni kama tumeoana jana. Siri ni hiyo hiyo ya kushika dini na kuwa waaminifu. Hakuna mchepuko.
 
Mapenzi sku zote yamegawanyika katika sehemu kuu mbili.
Katu haiwi raha tu,,,
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
 
Kweli wanafilosofia wanasema
IMG-20190625-WA0024.jpeg
 
Back
Top Bottom