Ndoa nzuri na yenye raha mustarehe

Ndoa nzuri na yenye raha mustarehe

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,886
Nilikuwa naongea na jamaa yangu kuhusu masuala ya ndoa na changamoto zake, jamaa ameniambia ndoa nzuri na yenye raha mustarehe ni ile ambayo Wakwe wamefariki. Anasema alikuwa anapata changamoto kadha wa kadha hapo zamani lakini baada ya wazazi wa mwenza kufariki saivi anaishi kwa raha mustarehe na anafurahia ndoa yake masikilizano yapo, akitoa oda mambo yanatekelezeka, akifoka anasikilizwa.
 
Mmmmh aisee kwa hiyo wakwe hawahitajiki kwenye ndoa
 
Mwambie ni mpumbavu so anatumia unyonge wa huyo yatima kumkandamiza

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo na sisi tuombee wakwe zetu wafe ili ndoa zetu zidumu?

Huyo jamaa aliyekwambia hivyo na wewe ukakubali bila shaka alikuona mjinga sana.
 
Yaani, ungekuwa Karibu Ningekuzaba vibao vya uso na huyo rafiki yako mabanzi ya maana yangemshukia.

In one way or another, your friend is a part and parcel of the death of his in-laws.

Pathetic kabisa.
 
come-to-america.gif
 
The world was a better place to stay, until people like you were born!

Shame on you and him!

- KANA -
 
Back
Top Bottom