Kaka unataka mom anilinde wapi nipo kwa Mme wangu?
means akuonye usije iga iga tabia za mke wa Sibonike
Asante. Nimeongea naye sana kuhusu dada yake lakini natwanga maji kwenye kinu. Hata mdogo wao ananisapoti kwa hilo. Kweli hilo la Massage Parlour nitalifanyia kazi maana mazoea hujenga tabia. Mapungufu ya kinyumba yamekuja baada ya hizo issue za dada yake, kabla ya hapo ilikuwa yeye ndio analalamika apumzimke. Kila nikumuwaza binti yangu, najirudi kumwaga ugali. Na buy time. Binti akiwa mkubwa wa kutosha na bado hali haijaeleweka, nitakuwa sina namna.
Pole sana, na nyie mkibanwa kwenye 18 mnatia huruma teh....
Duh.pole sana..we kam vp mchane.muitie watu wazma wamtie kti moto lakn s mnyama..useme dukuduku lako,mambo yaeleweke..
Uliyataka mwenyewe. Sasa kwa nini unaanza kulia lia hapa! Hukulazimishwa kuoa. This is your private business.
Babu mara moja moja basi unawapa ushauri wajukuu zakoUliyataka mwenyewe. Sasa kwa nini unaanza kulia lia hapa! Hukulazimishwa kuoa. This is your private business.
Labda ndio iliyobaki kumwitia watu japo nimekuwa nikiikwepa ili tuyamalize wenyewe. Itafika mahali nitakuwa sina jinsi.
I HATE MARIAGE... f.u.c.k it to hell
Kweli kabisa. Watu wawili !
..then i guess it's not your call. Let others who believe in it enjoy. By the way, marriage wasn't made for every one!!