Ndoa ni ya watu wangapi?

Ndoa ni ya watu wangapi?

ndo sababu za kumficha mmeo kweli...?!!
ishu km hyooo...
hv m/m anajiskiaje
labda km hawaaminiani na hyo ni dalili mojawapo...!!!
aiseee....!!!

Mpendwa wangu! binadamu tunatofautiana sana na mioyo yetu inahifadhi siri nzito sana. Tatizo la kutokushirikishana na kutopanga pamoja ni kubwa mno.. tena linagusa ufahamu wa mtu. wakati mwingine mke akiona haelewi elewi mambo yatakuwaje kesho huamua kujenga kwa siri ... na wengine hushawishiwa na ndugu zao kufanya kwa siri. Kila kiumbe kinawaza na kupanga kwa kadri kionavyo
 
Anashirikishwa na anachangia vizuri tu. Tatizo ni zile za kuambiwa bila kuchanganya na zake.
 
Yaani hizi kesi za upande mmoja zina changamoto kujibu, yaaani kujenga nyumba kimyakimya ndo sababu ya kuachana na mkeo, ushajiuliza kitu gani kilimpelekea kujenga nyumba kimyakimya, hakuna signal mmbaya zozote aliziona kwako , si yapo jamani tunajifunza kila siku, natamani jua kama alikua na sababu ya msingi ama la
 
kujenga nyumba kimyakimya sio issue huwezi jua kaona nn kwa upande wa ndugu zako. pia anajiprotect kwa ajili ya future yk what if ukija kumgeuka huko mbeleni unajua na nyie wanaume hamuaminiki. ila swala lakufata kila anachoambiwa na dada yk hapo ni tatizo kaeni kikao cha familia na huyo dada awepo na mumewe hafu umchane live huyo dada aache kuingilia ndoa za watu
 
Back
Top Bottom