Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Kumbe diplomasia ilisha fail,natamani kukwambia uvae vizuri kofia yako ya ubaba. Kuna wanawake ukiongea mara tatu jambo moja bila kumsindikiza na kofi kumuonesha unamaanisha anakubatiza jina la "John makelele",mwisho wa siku wewe unajua vizuri mkeo yukoje!Asante. Nimeongea naye sana kuhusu dada yake lakini natwanga maji kwenye kinu. Hata mdogo wao ananisapoti kwa hilo. Kweli hilo la Massage Parlour nitalifanyia kazi maana mazoea hujenga tabia. Mapungufu ya kinyumba yamekuja baada ya hizo issue za dada yake, kabla ya hapo ilikuwa yeye ndio analalamika apumzimke. Kila nikumuwaza binti yangu, najirudi kumwaga ugali. Na buy time. Binti akiwa mkubwa wa kutosha na bado hali haijaeleweka, nitakuwa sina namna.
Mpaka bint awe mkubwa wa kutosha si kutakuwa na mdogo wake naye unamvutia kasi awe mkubwa wa kutosha?