Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Mpaka raha
Na ukifa hamjazinguana? Nyumba itabaki na nan?
Mpaka raha
Tumeisha ongea mara nyingi lakini kila wakati tunarudi kulekule. Labda niite watu wenye heshima zao wajaribu kuliweka sawa. Kule number wala sichukui ni mambo ya muda tu vinginevyo ingekuwa tayari.
hamna mwanawe atamwambiaNi akili ya mtu tu. Atanificha mimi je mwanae naye atamficha hadi lini? Anafanya yale yanayofanywa na dada yake.
hamna mwanawe atamwambia
hivi maana ya ndoa siku hz hatuji eeh
au mwli mmoja hatuelewagi hata kidogo
aisee siwezi kuficha kwa mwenza wangu ishu km hyo labda km hamjaoana
Ni mke kabisa wa ndoa na harusi kubwa tu ukizingatia mi first born kwetu yeye wa kwanza kuolewa kwao!
Sawa kaka eli nimekuelewa nakuomba msamaha ..... hata mi naamin Mungu .... naomba nisamehe niombee msamaha kwa Mungu.
Na ukifa hamjazinguana? Nyumba itabaki na nan?
that's nice!! Japo linapokuja swala la ndoa kila mtu ana mtazamo wake, of which tunaoamini Mungu tunasona kuwa Mungu aliibariki na kuitakasa ndoa, kwa hiyo si vizuri sana kuikashfu kiasi hicho..though of course sio wote wenye wito wa kuoa/kuolewa. Au Khantwe we unasemaje rafiki..!
..lazma kuna samaki kaoza hapa..smdh!!Mmmhh.....ntasema mwakani
..lazma kuna samaki kaoza hapa..smdh!!
Thanks geniveros
Mkeo kashikiwa akili,shukuru mamkwe wako mnaelewana weka mambo hadharani usikie atasemaje,wife wangu wa kwanza alishikiwa akili na mama yake nikashauri nikachoka nikapiga chini na maisha yanasonga.
You need help. I am not saying you should like marriage but you shouldn't hate it either.
Hahahah mimi wananiita kauzu lkn mke mwenza umetia fora lol
Maana yake sasa inabidi nicheke tu. Hata form one under 18 mkubwa kabisa huyo enhe? Then unamtaka kwa kumwambia baba yake?