Ndoa ni vita...?

Ndoa ni vita...?

Naaaahhhhh! baadhi ya ndoa tu ndio vita na zipo nyingi tu ambazo ni kama wako bado kwenye honeymoon ukikutana nao kama huwajui utadhani wameoana wiki iliyopita hadi wanalishana hadharani.

Last edited by a moderator:

Safi saana mkuu.Wengi wanazitamani hizo.Uhalisia sasa...inatisha kwenye ndoa nyingi
 
Last edited by a moderator:
Marriage is the only war in which you sleep with the enemy-French Proverb. Kweli.Si kweli?

Mara nyingi binadmu ufikiri kile kimsumbuacho..kama ni utafiti..basi fikiri in positive kuwa ndoa ni urafiki na aina ya maisha ambayo watu fulani wamechagua..yaweza kuwa tamu, chachu, strange, weird, vita n.k... Ni mfumo wa maisha...au game ambayo ninyi wenyewe mnapanga rules of engagement!
 
Uko sahihi mkuu. Maisha ni kupanga. Kupanga ni kuchagua, sio?Tuko pamoja....
 
Naaaahhhhh! baadhi ya ndoa tu ndio vita na zipo nyingi tu ambazo ni kama wako bado kwenye honeymoon ukikutana nao kama huwajui utadhani wameoana wiki iliyopita hadi wanalishana hadharani.

Kuna kitu kimoja mkuu hukijui; wanandoa ni wanafki kupita maelezo, ukiwaona njiani au kwenye kadamnasi ka watu utawatamani, lkn wakiwa faragha ni balaa, yaani bonge la vita.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kimoja mkuu hukijui; wanandoa ni wanafki kupita maelezo, ukiwaona njiani au kwenye kadamnasi ka watu utawatamani, lkn wakiwa faragha ni balaa, yaani bonge la vita.

hahahaaa! Mkuu nimekugongea "LIKE" kubwa!
 
Mkuu kila mtu angechagua raha.Hakuna apendaye shida....so tunapanga na kuchagua kuepuka shida!

inasemekana hakuna ndoa isiyo na shida, je wanaopanga kuoa/kuolewa hawa moja kwa moja wamechagua shida?
 
Si wanandoa wote wako hivyo banaaaaa!!!! Acha kuongeza chumvi!!! Wengine ni raha tupu wakiwa hadharani au faragha. Kuhitilafiana kimawazo hapa na pale haina maana ni bonge la vita kama unavyotaka kuonyesha.

Kuna kitu kimoja mkuu hukijui; wanandoa ni wanafki kupita maelezo, ukiwaona njiani au kwenye kadamnasi ka watu utawatamani, lkn wakiwa faragha ni balaa, yaani bonge la vita.
 
Ndoa ni muungano wa watu wawili wa jinsia tofauti waliopendana na kuamua kuishi pamoja for the rest of their life na ku share the FRUITS OF JOY, pamoja na mambo mengine. Siyo vita.

na ndoa za mashonga vipi mkuu? kunanchi zimeshapitisha sheria za kuoana watu wa jinsia moja
 
Si wanandoa wote wako hivyo banaaaaa!!!! Acha kuongeza chumvi!!! Wengine ni raha tupu wakiwa hadharani au faragha. Kuhitilafiana kimawazo hapa na pale haina maana ni bonge la vita kama unavyotaka kuonyesha.

Hongera mkuu, naona ndoa yako ipo SUPA!
 
Soma tena kwa kituo ili unielewe sikuandika chochote kuhusu ndoa yangu na wala huna taarifa kwamba niko ndani ya ndoa au la.

Hongera mkuu, naona ndoa yako ipo SUPA!
 
na ndoa za mashonga vipi mkuu? kunanchi zimeshapitisha sheria za kuoana watu wa jinsia moja

Tunapoongelea mpango wa Mungu kwa wanadamu, ndoa ya mashoga si halali. Na kunaa baaadhi ya maandiko aliliwekea swala hilo OLE....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
inasemekana hakuna ndoa isiyo na shida, je wanaopanga kuoa/kuolewa hawa moja kwa moja wamechagua shida?

Hahaa!Wamechagua nusu shari tayari.Wakikaa vibaya inakuwa shari kamili!
 
Si wanandoa wote wako hivyo banaaaaa!!!! Acha kuongeza chumvi!!! Wengine ni raha tupu wakiwa hadharani au faragha. Kuhitilafiana kimawazo hapa na pale haina maana ni bonge la vita kama unavyotaka kuonyesha.

Mkuu maneno hayo yanatiana moyo kwelikweli...
 
Back
Top Bottom