Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama,kupika,kusafisha nyumba,kufua,kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa...
so shemeji hakufikishi kileleni, hoja yako ipo hapa Mkuu, mengine vikorombwezo tuImagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama,kupika,kusafisha nyumba,kufua,kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa...
Alichotendwa anakijuaKila dk tano thread mpya [emoji849][emoji849]
[emoji3][emoji3][emoji3]Alichotendwa anakijua
Unaonekana unastress sana kuhusu mahusiano, ulisema unagundu hautongozwi leo umekuja na hiliImagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.
Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...
Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.
Nb: mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Sasa unaoa mwanamke wa usangi si mtihani๐๐๐๐๐ alafu umeumizwa na kaboya kamoja unajumuisha wanaume wote kama alikuchakaza ni ww wapo wanawake kibao wananawiri hawalalamiki. Kama unanuka papa unatarajia kuna mtu atakua na kuda wakukuridhishaImagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.
Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...
Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.
Nb: mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Wewe umejiunga JF juzi... Ila upo moto kuliko member waliokuwa miaka zaidi ya10 huku...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.
Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...
Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.
Nb: mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Wawe wasimbe tuwakande vizuriKATAENI NDOA NANYIE.