Ndoa ni tamu sana

Mke Wangu alikuwa idara zingine zoote yuko vizuri lakini malaya ni hatari nilimshauri aache tabia hakuweza baadaye aliondoka mwenyewe kuendeleza fani yake nimemwona mahali juzi kanenepa mithili ya mbuyu.
 
Ndoa ni tamu sana. Na michepuko ni mitamu balaa!
Tatizo ni pale unapogundua mwenzako amechepuka au pale ambapo utafumaniwa
Michepuko sio mitamu hata ukitaka kugundua hilo umwa mwezi mzima uone kama mchepuko wako atasogea, lakini mume/mke atakuwa na wew began kwa bega
 
Wacha weeee mambo si ndo hayo kila sehemu kuna changamoto zake lakin ukiziweza una enjoy
 
Michepuko sio mitamu hata ukitaka kugundua hilo umwa mwezi mzima uone kama mchepuko wako atasogea, lakini mume/mke atakuwa na wew began kwa bega
Ni kweli. Utamu upo wa aina nyingi.
 
Mke Wangu alikuwa idara zingine zoote yuko vizuri lakini malaya ni hatari nilimshauri aache tabia hakuweza baadaye aliondoka mwenyewe kuendeleza fani yake nimemwona mahali juzi kanenepa mithili ya mbuyu.
Hahahahaha aiseee pole sana alikuwa amezoea mihogo ya aina tofauti tofauti na hii ni changamoto kwa wanawake
 
Waooh kwa mara ya kwanza sijui mara chache watu kusifia ndoa. Safi sana mi sijajuta na sitaki kujuta kuolewa am happy kuwa na familia. Sasa na ww mtoa mada umeharibu pale uliposema "mchepuko mstaarabu" hakuna mchepuko mstaarabu kama angekua mstaarabu asingeingilia ndoa ya mtu. Kwani wanaume hamuwezi kukaa bila mchepuko but nadhani wapo wastaarabu japo hawawezi kusema mbele ya watu kuwa hawachepuki.
 
Hapa failures ni nyingi sana
 
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…