Ooyooo ujauzito huu ni safi na hasa kwa hapa bongo maana hawa mawife nao huwa hawachezi mbali kwa kejeli za hapa na pale mara hana lolote ni kujaza choo tu na mara ana maliza gunia la mchele na mwisho ndoa kuvunjika bila kupenda wao na masikitiko makubwa na hapo tena mawifi huwa wanapiga ngoma kwa furaha kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.