Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 857
- 1,696
- Thread starter
- #61
upo kwenye ndoa?Huelewi kwa urahisi sijui kwanini!
upo kwenye ndoa?Huelewi kwa urahisi sijui kwanini!
Haihusianiupo kwenye ndoa?
lakn kuuliza sio ujingaHaihusiani
Hii mada haina uhusiano na maisha yangulakn kuuliza sio ujinga
Ngoja nichukue notes...Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana.
HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA HIVYO KUPENDWA NA WANAWAKE WOTE DUNIANI
Kwasababu ni kinyume chake kwamba hakuna mwanamke ambaye atapendwa na wanaume wote inamaana kwamba endapo mmoja kati ya wanandoa atagundua kwamba ameoana na mtu mwenye tabia kinyume na alivyotarajia suluhisho sio kuachana bali kujifunza ili uendane naye.
Hii ndo maana ya kuita ndoa ni chuo.
Matunzo 02
Ulikua unasubiri admission letter hatimae umesha fanya a complete registration with direct cost hatimae ni member wa PINGA NDOA 😂😂😂Bila kunafikiana kwenye ndoa hamfiki mahali
Marriage is scam.
ndy unaweza kuzitumia kuzimu kuomba kazi maisha yakaendaNa ukihitimu ukapata shahada zako unaenda nazo kuzimu kuzitumia sio?
naona umenijibu kisiasa ila nimekuelewaHii mada haina uhusiano na maisha yangu
Hapana mimi niko mguu moja ndani mwingine nje, anything can happen 😎Ulikua unasubiri admission letter hatimae umesha fanya a complete registration with direct cost hatimae ni member wa PINGA NDOA 😂😂😂
Nafurahi kuona unaelewa harakanaona umenijibu kisiasa ila nimekuelewa