Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,763
- 86,429
Unajifariji sana! Unahisi ni kitu cha siku mbili sio?Baba pastor vs mama pastor! mkuu hapa wema na fadhili zitatufuata siku zote za maisha yetu!
Unajifariji sana! Unahisi ni kitu cha siku mbili sio?Baba pastor vs mama pastor! mkuu hapa wema na fadhili zitatufuata siku zote za maisha yetu!
Amina mtumishikwenye ile namba utapanga sana folen maana wanatuma wengi wew subili ulete kanisan tu
Mkuu "nayaweza mambo yooote, katika YEYE anitiaye nguvu"Unajifariji sana! Unahisi ni kitu cha siku mbili sio?
Ya kale ni dhahabu mkuu!Sawa kariri
Nini kimetokea mtumishi?Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana.
HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA HIVYO KUPENDWA NA WANAWAKE WOTE DUNIANI
Kwasababu ni kinyume chake kwamba hakuna mwanamke ambaye atapendwa na wanaume wote inamaana kwamba endapo mmoja kati ya wanandoa atagundua kwamba ameoana na mtu mwenye tabia kinyume na alivyotarajia suluhisho sio kuachana bali kujifunza ili uendane naye.
Hii ndo maana ya kuita ndoa ni chuo.
Matunzo 02
Hakuna anayetia nguvu, nguvu ni zako mwenyewe kula ugali na waliMkuu "nayaweza mambo yooote, katika YEYE anitiaye nguvu"
Ndio Maana Mimi Mwanamke anayetaka Kuishi na Mimi asithubutu kutaka Ndoa za makanisa au mamiskiti, na wananifahamu vizuriNdoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kama watu mmependana ishini pamoja bila kusainishana mkataba. Mapenzi yakiisha kila mmoja anachukua njia yake, anabaki na kilicho chake.
Hahahahaaaa mkuu, namaanisha za kiroho!Hakuna anayetia nguvu, nguvu ni zako mwenyewe kula ugali na wali
Ndio utapeli huo, nguvu za mwili huna za kiroho unazitoa wapi? Kwanza zikojeHahahahaaaa mkuu, namaanisha za kiroho!
Nazitoa kwa muumbaji, zinatenda kupitia imani mkuuNdio utapeli huo, nguvu za mwili huna za kiroho unazitoa wapi? Kwanza zikoje
Acha uongoNazitoa kwa muumbaji, zinatenda kupitia imani mkuu
Wewe wasema mkuu!Acha uongo
kondoo wanaachana hivyo wanapunguza idadi ya sadaka najaribu kuwasihi wasiachaneNini kimetokea mtumishi?
kwani ndoa ni part ya movie?Unapenda sana ndoa, kaangalie hii movie.View attachment 3658482
Kina dada wanajioaKina dada cheti cha ndoa kikae mbele kama tai..... Ooh kaeni mkao wa kula
Huelewi kwa urahisi sijui kwanini!kwani ndoa ni part ya movie?