samahan ulieleta huu uzi ila sjakuelewa well kua jamaa kakuta message gani ila inaonesha rafiki yako ni kiburi na ndio mana anasema hawezi kumnyenyekea mtu na ndio mana anasema shule kwanza.
Muulize kama anasema shule kwanza then hiyo hela ya ada ataipata wapi kama mme kasema hayuko tayari tena kutoa?Au huyo aliemtumia message ndio katoa ahadi ya kumsomesha?Watu wanakupenda ukiwa nacho ila kikitolewa hautawaona tena.Vijana weng wanapenda wake za watu kwa sabab wanajua mko well financially ila pindi jamaa akikata mirija yote ya hela ndio utamjua huyo kijana wako