Lepanto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,162
- 500
Njia sahihi he can do ni kwenda kutoa taarifa kwa dhehebu lililomfungia hiyo harusi wamwite mkewe wamhoji kulikoni. Majibu yatakayopatikana kama mke hatakubali kumrudia mumewe ni kuvunja ndoa yao.
Plan B ni kuwafanyizia kitu mbaya mkewe na mume mwenzie.
Plan B ni kuwafanyizia kitu mbaya mkewe na mume mwenzie.