Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
- Thread starter
- #21
asante kwa kuelewa dea ndo hivyohivyotumeaambiwa tusihukumu tusije hukumiwa. Ila kubali usikubali ni kosa la la wazazi na jamii kwa huyo binti. Uliza wengi wenu mnavyopata stress ukitimiza miaka 25 bila kuchumbiwa.