Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Je kiuhalisia kila mtu anaye huyu mtu maishani mwake?i mean kila mtu ana rafiki mzuri kiasi hicho?
Labda kama ni mfungwa! Lakini kama unaishi lazima uwe na marafiki! Laah! We ni selfish!
Je kiuhalisia kila mtu anaye huyu mtu maishani mwake?i mean kila mtu ana rafiki mzuri kiasi hicho?
Labda kama ni mfungwa! Lakini kama unaishi lazima uwe na marafiki! Laah! We ni selfish!
Mkuu ili watu tudumu kwenye ndoa tunahitaji uraffiki 70% na upenzi wa mke na mume ni 30%14 years now, kabla ya hapo tulikuwa friends for 8 years! Wapenzi 1 year!
Rejea swali la awali kwamba kila mtu anaweza kuwa na rafiki huyu
Kuna siri ambazo huwezi kumusmbia mwingine unabaki nszo wewe kama wewe mwenyewe.Je kiuhalisia kila mtu anaye huyu mtu maishani mwake?i mean kila mtu ana rafiki mzuri kiasi hicho?
Yeah, kwa sababu mimi nilikuwa na friend wangu mmoja kusema ukweli nilimwambia kila kiiitu ila singeweza kuoana naye, asingeniamini kabisa kwenye ndoaKuna siri ambazo huwezi kumusmbia mwingine unabaki nszo wewe kama wewe mwenyewe.
Alafu kuna siri unaona kwamba hii yakusemeka namusmbia fulani tuu simusmbii kila mtu.
Alafu kuna siri unaweza kumuambia yeyote yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee km mimi yani ukitukuta hatumalizi stori kibao km hatujalala woote.
ila ndoa nyingi wanandoa sio marafiki
Kwahiyo na wewe unanyimwa unyumba? Hahahahah! Na unaendelea kujiona kidume wakati mkeo unamtunza ili agawe nje?
Mkuu umenigusa kabisa. Nilidhani nikioa basi ningepata kila napohitaji, kumbe dah bora wakati sijamuoa nilifaidi sana, yaani unanyimwa sababu ya dogo na huwezi complain kwasababu ni mwanao.Ki msingi wanawake huanza kusumbua akijifungua anaanza kukupangia mgegedo inamaana mnagawana na dogo, wakifika 2 ndo kabisaaaaaaaa. Kila siku kachoka utashangaa mkiingia kulala dogo ndo anawekwa kati yeye end hii wewe end hii. Ukianza kumgusa mtoto anaamshwa kanaanza kunyonyeshwa. Au unaambiwa mtoto hajalala. Mabaharia huwa tunajichanganya mtaani then mtoto unamchongea kitanďa chake na mama yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasiwepo ndoa hizo kwa sababu mizinguo.jambo la msingi mtu asioneshe kama anamtaka fulani kindoa kwani hilo litamfanya anaetakiwa kujipamba vizuri kitabia na kuigiza ili amvute yule mtu.
Mwanaume winda kimya kimya utapata mnyama sahihi umtakae,usiwe na kelele kutafuta mchumba.eti mtu unakaa na mwanamke na mwanamke anajua kwamba hapa nachunguzwa ili kama nafaa niolewe.hivi mwanamke gani ataonesha tabia chafu hapo? Atakuigizia mpaka ukome na ukiingia kingi kuoa umekwisha.
Ndoa anaeweza kuidumisha ni mwanamke.
Mwanamke akiwa malaya kwa mumewe na kuwa mtundu na asiwe kidomodomo mwanaume hatakubali kumuacha mwanamke huyo.
Mwanaume akiwa mstaarabu asiyenuna nuna na kuwa mkali basi mwanamke atafurahi.
Ndoa ili idumu kila mwanandoa anatakiwa atathmini ni tabia zipi ambazo mara nyingi huvunja mahusiano basi waziepuke.
Ndoa haitaki maigizo ishini nyinyi kama nyinyi.
Mimi na mke wangu tunaweza kukaa ndani siku nzima humo tunapiga stori tu za hapa na pale na kucheka tunasahau hasa kama mtu na mumewe tunakuwa marafiki,kwa mke wangu nakuwa huru kupiga kila aina ya stori.
Namchokoza makusudi na kumsumbua.kuna wakati mwanamke sio atakumbuka mazuri na utulivu wako,bali wakati ungine hukumbuka vituko na viuchokozi wako
Habari za kupiga stori za kupendana tu kila mda uongo bwana.ndoa inatakiwa asilimia 70 ni urafiki na zinazobaki ni mtu na mkewe.
Mume kumsaidia mke kazi huo ni urafiki ukivaa vazi la mume utakaaje jikoni bwana,ila ukivaa vazi la urafiki utakaa nae jikoni na mkasaidiana kupika.ila tunaona watu na marafiki zao wanavyosaidiana,kwa nini usimsaidie mkeo huyo ni kama rafiki na zaidi.
Ndoa haina kuiga bongo muvi taniana na mkeo kama washkaji hivi lazima muwe na kibwagizo chenu sio kama baba na mtoto wake hakuna kucheka.
Wanaume tuwe tunatabia ya japokuandaa vispeech mara moja moja ukimsifia mkeo juu ya jambo fulani zuri alilofanya kwako ili aone kuwa unamrespect aisee.
Ndoa haitaki wivu wa kifala wa kuchunguzana simu.
Wife namuachia simu anasoma meseji za magroup yangu na mimi ananiachia simu nasoma za magroup yake na ananiachia (sio lazima uige)
Kiufupi ndoa hasa kwa zama zetu ona kama yule ni rafiki yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tola liniMie 'Field Marshall Bachelor' wacha niwe mpenzi msomaji!