The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
wanajamii napenda kuwaambia tu member mwenzenu natarajia kuoa mungu akipenda mwezi wa sita, ndani ya Jiji la Mwanza...nahitaji na napokea mchango kuanzia elfu kumi na kuendelea...tigo pesa tuma hapa 0713-242788 m-pesa tuma hapa 0758-405940...
Ok sawa unamuoa mke wako au mchumba wako?
Khaaaaa,shemeji umamuoa nani mbona dada yangu hajanambia km anaolewa na hakuna process yoyote ya kuolewa na hata familia haijui?wanajamii napenda kuwaambia tu member mwenzenu natarajia kuoa mungu akipenda mwezi wa sita, ndani ya Jiji la Mwanza...nahitaji na napokea mchango kuanzia elfu kumi na kuendelea...tigo pesa tuma hapa 0713-242788 m-pesa tuma hapa 0758-405940...
Jua hapo dadako kachachinjiwa baharini, pole sana atafute maisha mengine, hahahahahahahahaKhaaaaa,shemeji umamuoa nani mbona dada yangu hajanambia km anaolewa na hakuna process yoyote ya kuolewa na hata familia haijui?
Imekaaje hii shemeji,no yangu ndio imenifanya nikakutambua!!!!
Ndio nataka niujue ukweli lol!Jua hapo dadako kachachinjiwa baharini, pole sana atafute maisha mengine, hahahahahahahaha
Hivi ndoa nazo siku hizi wanazinadi kama biashara??
Khaaaaa,shemeji umamuoa nani mbona dada yangu hajanambia km anaolewa na hakuna process yoyote ya kuolewa na hata familia haijui?
Imekaaje hii shemeji,no yangu ndio imenifanya nikakutambua!!!!
Mwanza sehem gani? Nifahamishe huenda nikakuletea huo mchango by hand.