Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Ngoja nimwite ms chagga aje humu awafundishe nyue timu vibamia kazi kulalamika nyuma ya keyboard tu mwanaume rijali hana muda wa kulia lia humu yeye ni vitendo tu.
Gogo kweli kweli mithili ya alie kufa
 
Waache vijana wavuke boarder, tena inabidi nao tuwakabidhi bendera kwani wanaliwakilisha taifa [emoji3]
 
Labda hapo kwenye kuzaa tu ndo ntawapenda maana kweli hawanaga cha kutoa mimba na mimi nnavopenda kuwa na timu ya mpira labda ntawafikiria kidogo
Bob hao watu ndo wapo kwene chat sio dada zetu wakibongo asaivi wake tunachukulia nje ya nchi wabongo tunawapitia tu maana wamezidi mno ujeuri
 
Tuwaache mademu wakibongo wajioe wenyewe asaivi tufateni wake Rwanda hakuna hata kikwazo maraisi wetu ni marafiki hakuna tatizo ukisema naomba uraia wa mke wangu toka rwanda m hapa nina mchumba tayari from Rwanda na wanaheshima sana
 
Labda hapo kwenye kuzaa tu ndo ntawapenda maana kweli hawanaga cha kutoa mimba na mimi nnavopenda kuwa na timu ya mpira labda ntawafikiria kidogo
Harafu, mwisho unaomba debe la Mahindi kwa timu ya Mpira , Obama rais wa Dunia ana watoto wawili tu wewe hata Barozi wa nyumba kumi hauna, kweli magufuri ana kazi.
 
Na walivo wazur n hakia yaobwaache tu waolewe msomali,mnyarwanda,muiraq,muethopia aiseeee watt wazur hawa mwweee
 
Halikuwa jambo la kawaida sana huko nyuma. Ndani ya miezi miwili nimepokea kadi za harusi 6, kilichonishangaza 4 kati ya hizo ni wadada wa kisomali, moja made in Syria na moja nyingine ndiyo ya dada zetu wa kibongo.

Pia mbali ya hizi kadi, nimeshuhudia hizi ndoa za "cross-border" zikipanda chati sana siku za hivi karibuni hasa zikuhusisha vijana wa kibongo na dada zetu wa kisomali, syria nk. Nikajiuliza, hivi ndio soko la dada zetu wa kibongo limekwisha au kuna tatizo gani hapa? Au hamjitumi uwanjani?
Sasa wewe hujui hao wanaoolewa nchi zao kuna vita? Hata watutsi pia wanaolewa kwa wingi tu
 
Tunalifanyia uchunguzi hili suala hizi zisije kuwa sham marriage kwa dhumuni la watu kupata uraia. Nchi zote ulizotaja zipo matatizoni na ni rahisi watu hao kufanya arrangement za namna hii kwa kutoa kiasi cha pesa ku-fake marriage then wapate uraia. TUTALIFATILIA HILI[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom