Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Ngoja nimwite ms chagga aje humu awafundishe nyue timu vibamia kazi kulalamika nyuma ya keyboard tu mwanaume rijali hana muda wa kulia lia humu yeye ni vitendo tu.
Aiseee Manka kuwa mpole ninyi ni wasuri sana
 
Hao wanawake jamii za kisomali na waarab, ni watu wavivu ajab... Wao kazi yao kujifungia ndani na kujipaka ina, sasa hizo swaga mimi mchaga siwez..
Mwanamke kukaa ndani kuna raha faida nyingi kuliko hasara. Kwanza unaondoa stress za wivu, pili Malezi ya watoto, kulelewa na house girl pekee watoto wengi wanapata maadili na malezi ya angalau mzazi mmoja kuwa karibu, Tatu kero za kwenye ndoa hupungua hasa asilimia kubwa ya wanawake wanaofanya kazi maofisini huhamisha hasira za maofisini na kuzileta nyumbani. Mwanamke kuwa na mabosi wawili kuna upande ataupa uzito zaidi kuliko mwingine hasa upande wa kazini ambako kunamuingizia kipato. Nne uchovu wa kazini humfanya mwanamke kukunyima UNYUMBA hivyo kujikuta unatembea nje ya ndoa bila kupenda, hata akilazimisha kukupa unyumba hata perform vizuri maana ana uchovu. Tunalazimika wanawake waajiriwe ni kwa sababu ya uwezowetu mdogo lakini kama mtu unauwezo, miradi binafsi ni bora zaidi itakayomuwezesha mwanamke kupanga shughuli zake na huduma za ndani.
 
Halikuwa jambo la kawaida sana huko nyuma. Ndani ya miezi miwili nimepokea kadi za harusi 6, kilichonishangaza 4 kati ya hizo ni wadada wa kisomali, moja made in Syria na moja nyingine ndiyo ya dada zetu wa kibongo.

Pia mbali ya hizi kadi, nimeshuhudia hizi ndoa za "cross-border" zikipanda chati sana siku za hivi karibuni hasa zikuhusisha vijana wa kibongo na dada zetu wa kisomali, syria nk. Nikajiuliza, hivi ndio soko la dada zetu wa kibongo limekwisha au kuna tatizo gani hapa? Au hamjitumi uwanjani?
Sitashangaa ikiwa hii ni njia mpya ya Alkaida na Alshabab kujipenyeza nchini. Tunachekelea lakini hii ni weak point inayopaswa kuangaliwa na vyombo vya usalama
adc89ce37750f7dae2af087fa36aad39.jpg
 
Sitashangaa ikiwa hii ni njia mpya ya Alkaida na Alshabab kujipenyeza nchini. Tunachekelea lakini hii ni weak point inayopaswa kuangaliwa na vyombo vya usalama
Acha woga, Alshabaab wajuoenyeze kwenye nchi yetu kwa kutaka nini? Sijui lini hizi foreign phobias zitatutoka waafrika
 
Afu hiyo ni mix arabu na africani ukipta watoto wanatoka fresh afu kikubwa unywele naturely kitu singa ya ukweli sasa ivi wanaume wana kimbilia nywele sio mzigo Mkuu.
 
Acha woga, Alshabaab wajuoenyeze kwenye nchi yetu kwa kutaka nini? Sijui lini hizi foreign phobias zitatutoka waafrika
Najua nchi ile jirani wakati wa mauaji ya Kimbari, walitangulia wadada kuja kwetu. Baadae waliingia wajomba zao, mashemeji, wadogo zao na wenginewe. Mwisho likawa wimbi la wakimbizi. Baadae ikawa shida ya ujambazi kule msitu wa Biharamulo. Angalia wakimbizi wanavyoisambaratisha Ulaya. Angalia itikadi zao zinavyoanza kuitawala Ulaya wapende wasipende. Nakumbuka Ufaransa jamaa alitumbukiza semi kwenye umati kisa eti kudai haki za wakimbizi. Ayeni,Ngamia alianza na kichwa mwisho kamtoa nje mwenye nyumba. Olo waoooo
 
Hao wanawake jamii za kisomali na waarab, ni watu wavivu ajab... Wao kazi yao kujifungia ndani na kujipaka ina, sasa hizo swaga mimi mchaga siwez..
Halafu hakuna jamii inayotahiri wanawake kama Wasomali.

Nawajua vizuri sana
 
Najua nchi ile jirani wakati wa mauaji ya Kimbari, walitangulia wadada kuja kwetu. Baadae waliingia wajomba zao, mashemeji, wadogo zao na wenginewe. Mwisho likawa wimbi la wakimbizi. Baadae ikawa shida ya ujambazi kule msitu wa Biharamulo. Angalia wakimbizi wanavyoisambaratisha Ulaya. Angalia itikadi zao zinavyoanza kuitawala Ulaya wapende wasipende. Nakumbuka Ufaransa jamaa alitumbukiza semi kwenye umati kisa eti kudai haki za wakimbizi. Ayeni,Ngamia alianza na kichwa mwisho kamtoa nje mwenye nyumba. Olo waoooo
Ni woga uliopitiliza tu huu hauna msingi wowote kwa ndugu zetu hawa. Na waje tu kwa wingi, nchi bado inahitaji mchanganyiko wa akili hii maana kwa waliopo hapa wengi ni 1:4
 
Wengi wanakaa Ilala, binafsi ninaye mmoja anakaa ilala
 
Back
Top Bottom