Ndoa na mkono wa sweta

.. kuna idadi kubwa tu ya watu ambao wanaishi kwa mfano wangu je nao nini ambacho ukumbana nacho.

By R.Nzagamba
Mkuu huna tatizo la kutisha, nenda Hosptal kafanyiwe hako ni ka-operation kadogo tu, mimi mwenyewe nimefanya nikiwa Form five na ni baada ya kugundua maisha ya Boarding siwezi ku-survive na hiyo kitu, faida moja wapo ya kutoa hiyo ngozi mbali na maswala ya usafi na kupunguza uwezekano kupata maambukizi kirahisi kutokana na kuchubuka kirahisi, pia uta-enjoy zaidi tendo la ndoa kwani utakua huru na mpenzi wako atakua huru kukufanyia chochote katika uume (Wanaume wengi hapa watanielewa). Kijijini kwetu mambo hayo ya kutahiri by then walikua hawayataki/hawayajui, na mbaya zaidi yalikua yanahusishwa na imani flani, thanks God elimu ya afya ilipowafikia vizuri kwasasa watu wanafanyiwa wakiwa watoto na wale waliochelewa wameendelea kufanyiwa hata wakiwa ndani ya ndoa. Nenda katoe hiyo ngozi hakuna daktari atakaye kushangaa kwasababu hicho ni kitu kidogo sana madaktari wanakutana na mambo makubwa sana hiyo siyo ishu kwao, anakutahiri alafu anakusahau atakubuka iwapo utarudi kama alikupa siku ya kumuona tena aone maendeleo, mbona hawashangai mgonjwa wa kipindu pindu anapoletwa kutibiwa hata akiwa Mkurugenzi?
 
18f9b5e916e85e24a8f6c5d680f83297.jpg

Nimezaliwa katika jamii ya wafugaji

Utamaduni wa jamii yangu hapakuwa na mtu aitwae Ngariba

Makuzi yangu hayakuwahi kunifahamisha kuwa binadamu akishazaliwa kuna fundi ambae uyarekebisha maumbile sahihi ya Mungu kwa kudondosha mkono wa Sweta. Elimu yangu ya kidato cha kwanza pale Mirambo secondary ilikutanisha na viumbe wa sayari nyingine kabisa katika maisha yangu hasa pale tulipojumuika bafuni kila mmoja alinishangaa mimi kwa jinsi sehem zangu siri zilivyokuwa. Mbali na kunishangaa wengine walinikebehi kwa kuniita jina baya la mzee wa Zunga.

Jambo la kuonekana wa pekee pale shuleni mwanzoni lilinikera sana hadi siku moja niliporudi likizo nilitaka kuacha kurudi school kutokana na kebehi za wadau wa pale shule. Japo nilikuwa na uhakika katika masomo yangu pale shuleni sababu wale walionikebehi darasani waliniomba msaada maana uwezo wa kielemu haukujali Jando au kutokwenda Jando.

Baada ya kuhitimu form four matokeo yalipotoka nilikuwa nimepangwa shule ya secondary Pugu ni rafiki yangu Chacha ndio tuliofanikiwa kujiunga nae pale Pugu secondary kwa masomo ya kidato cha tano.

Japo tatizo langu la kuwa na mkono wa sweta nilikwisha lizoea sikujali chochote lakini sikuhitaji kadhia ya kidato cha kwanza nililazimika kuoga peke yangu siku zote ili my secret isivuje daima.

Siku moja nikiwa mtaa wa Msimbazi nilimsikia bwana mmoja akiuza dawa ya nguvu za kiume na kutokana na matangazo yake nilivutiwa na kumsogelea baada ya kuelewa kile alichokuwa anahubiri nilijenga hisia moyoni na kuamini kuwa mtu akidondosha mkono wa sweta basi nguvu zake za kiume zinapotea.

Sikutamani milele kufanyiwa tendo hili kwanza nilianza kuwaona wale waliofanyiwa kama wakosefu mbele za mungu sababu tendo lao nilihisi lilikuwa ni tendo la kumdharau Mungu kwa kuondoa sehemu ya uumbaji wake
nilijiamini nakujiapisha kuwa endapo ningekufa na ukamilifu wangu Mungu angeniteua katika kuwaadhibu wale waliopunguza kile alichowatunuku katika miili yao.

Siku moja nikiwa likizo nilianzisha mada mbele ya kaka zangu kuhusu vijana wa mjini na tabia yao yakukata sehemu ya mwili wao eti ndio tohara. Kaka zangu waliwacheka sana wakaniambia mtu anaekata hizo sehem anakuwa mswahili na waswahili hupenda kukutana sana na wanawake lakini nguvu zao zinakuwa ndogo kwa sababu ya wao kutoa ile ngozi ndipo nilipomkumbuka yule tabibu wa mtaa wa Msimbazi na dawa zake za nguvu za kiume.

Hakika kutokudondosha mkono wa sweta kulinifanya kuwaogopa wasichana niliowapenda hasa baada ya kukutana na baadhi ya warembo wa fikra zangu nao baada ya kugundua udhaifu wangu wengine walinigomea kuduu nao na hata wengine kunitoroka ktk vyumba gest baada ya mimi kuwaonyesha urijali wangu wakutunza tunu ya Manani.

Umri wangu wa kuoa ulikuwa ukikimbia kwa kasi huku binti wakikubali umbile langu la mkono wa sweta nikiwa simpati japo niliwapata mabinti walevi wao hawakujali bali walijali pesa na pombe lakini nilipowarudia Mara ya pili waliishia kunidhalilisha sikuweza kuwatamani tena mabinti wa mjini.

Nirudi kijijini na kuwaeleza wazazi juu ya dhamira yangu ya kuoa pale kijijini hakuna binti ambae angenikatalia kwa hadhi niliyokuwa nayo kila familia ilinijua kutokana na usomi wangu. Nilikuwa mtu maridadi nikivaa suti za bei japo usingeweza kujua ustarabu wangu niliouhifadhi katika suruali yangu ya gharama.

Baada ya juhudi za familia yangu nilibahatika kumpata binti wa kijiji cha jirani baba alipeleka mahari ya ng'ombe 30 ndipo nilipokabidhiwa mke. Mwanzoni mke wangu hakujali mimi kuwa katika hali ile lakini baada ya miaka sita ya ndoa mke wangu alianza kudai kuwa na mkera kwa kuwa mimi nina mkono wa sweta.

Kwa kuwa jamii yetu mwanaume hakusifiwa kwa kudondosha mkono wa sweta niliamini kuwa mke wangu alikuwa amempata mswahili na kumuonjesha iliomenywa. Japo sikumwambia hisia zangu lakini kadri siku zilivyokwenda tendo la ndoa kwangu nilianza kulisoma kwenye magazeti, nilijitahidi kumuasa mke wangu kuhusu tabia yake hiyo lakini haikuwa rahisi kunielewa na hatimae aliondoka na kuniambia kama nampenda nikadondoshe mkono wa sweta.

Kwa umri wangu huu miaka 48 naona ni kujidharilisha mbele ya Dr
kiukweli napata shida sana katika hisia zangu naamini kupitia Uzi huu kuna wadau ambao nao walichelewa kushusha japo wengi huduma hiyo uipata kutoka kwa walezi wao hadi wanakuwa watu wazima hawajui nini kilifanyika hadi wakawa hivyo lakini naamini kuna idadi kubwa tu ya watu ambao wanaishi kwa mfano wangu je nao nini ambacho ukumbana nacho.

By R.Nzagamba

MKUU,

PAMBANA NA HALI YAKO!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kineee.....
Mkuu hapo huna namna...we nenda tuu hospital wakaondoe huo mkono wa sweta....tafuta pesa yako nenda hospital ya private omba apportment na urologist akulambe kisu...wanasema mficha uchi hazai ....na ulikuwa wapi miaka yote hiyo
Halafu hilo la manzi wako kukataa leo wakati ameshaishi na wewe miaka6 hicho kiburi anatoa wapi..ukizingatia umemuoa kutoka kwenye jamii yako kwa hyo inawezekana alishakutana na mikono ya shweta mingi tuu leo iweje aone chaa ajabu?Na je hiyo iliyochongwa kaijulia wapi stuka mzeee..unaibiwa kesha vutiwa na zilizochongwa huyo.....
Mzeee pambana na hali yako.....vunja ukimya nenda hospital
 
Dr jumaa wa kariakoo anakusubiria aisee au nenda mikoa ya kanda ya ziwa kuna miradi ya kukata wenye ngozi ngumu kama yako (magovi sugu)
 
Ila govi linaraha yake unapokuwa unagegeda maana inakuwa kama pump ya baiskeli vile. Sema wadada wengi bado hawajatambua utamu wake. Bwana muache jamaa aendeleze mila

Tatizo linalegea haraka. Na akiwa ametoka kwenye mihangaiko siku nzima hajaona lina uka sana. Zamani babu na bibi zetu hawakuona shida maana jasho liliwazoea kuoga haikuwa issue wananukia kibeberu.
 
Tatizo linalegea haraka. Na akiwa ametoka kwenye mihangaiko siku nzima hajaona lina uka sana. Zamani babu na bibi zetu hawakuona shida maana jasho liliwazoea kuoga haikuwa issue wananukia kibeberu.
MADAMU hayo huwa hayalegei haraka ukumbuke halijatibuliwa hilo bado og. Siku hizi tunayatunza balaa. Hebu njoo kwangu uinjoy mkono wa sweta kwanini uandikie mate na wakati wino upo? Huo mkono unapigwa maji unakuwa safi kabisa na unatumika kwa matumizi ya mwanadamu kunako mgegedano stadium
 
MADAMU hayo huwa hayalegei haraka ukumbuke halijatibuliwa hilo bado og. Siku hizi tunayatunza balaa. Hebu njoo kwangu uinjoy mkono wa sweta kwanini uandikie mate na wakati wino upo? Huo mkono unapigwa maji unakuwa safi kabisa na unatumika kwa matumizi ya mwanadamu kunako mgegedano stadium

Nayajua sitaki kuyasikia utafikiri mlemavu likilala kama nini sijui
 
Mkuu pole nasikiaga mnalivuta nyuma any way we nenda hospital shusha mzigo huo kabla hakujawa giza
 
Back
Top Bottom