Ndoa na mkono wa sweta

18f9b5e916e85e24a8f6c5d680f83297.jpg

Nimezaliwa katika jamii ya wafugaji

Utamaduni wa jamii yangu hapakuwa na mtu aitwae Ngariba

Makuzi yangu hayakuwahi kunifahamisha kuwa binadamu akisha zaliwa kuna fundi ambae uyarekebisha maumbile sahihi ya Mungu kwa kudondosha Mkono wa Sweta..

Elimu yangu ya kidato cha kwanza pale Milambo secondary ilikutanisha na viumbe wa sayari nyingine kabisa katika maisha yangu hasa pale tulipojumuika bafuni kila mmoja alinishangaa Mimi kwa jinsi sehem zangu siri zilivyokuwa

Mbali na kunishangaa wengine walinikebehi kwa kuniita jina baya la mzee wa Zunga..

Jambo la kuonekana wa pekee pale shuleni mwanzoni lilinikera sana hadi siku moja niliporudi likizo nilitaka kuacha kurudi school kutokana na kebehi za wadau wa pale shule...
Japo nilikuwa na uhakika katika masomo yangu pale shuleni sababu wale walionikebehi darasani waliniomba msaada maana uwezo wa kielemu haukujari Jando au kutokwenda Jando..

Baada ya kuhitimu form four matokeo yalipotoka nilikuwa nimepangwa shule ya secondary Pugu ni rafiki yangu chacha ndio tuliofanikiwa kujiunga nae pale Pugu secondary kwa masomo ya kidato cha tano

Japo tatizo langu lakuwa na mkono wa sweta nilikwisha lizoea sikujari chochote lakini sikuhitaji kadhia ya kidato cha kwanza nililazimika kuoga peke yangu siku zote ili my secret isivuje daima..

Siku moja nikiwa mtaa wa msimbazi nilimsikia bwana mmoja akiuza dawa ya Nguvu za kiume na kutokana na matangazo yake nilivutiwa na kumsogerea baada ya kuelewa kile alichokuwa anahubiri nilijenga hisia moyoni nakuamini kuwa mtu akidondosha mkono wa sweta basi Nguvu zake za kiume zinapotea.
Sikutamani milele kufanyiwa tendo hili kwanza nilianza kuwaona wale waliofanyiwa kama wakosefu mbele za mungu sababu tendo lao nilihisi lilikuwa ni tendo la kumdharau mungu kwa kuondoa sehemu ya uumbaji wake
Nilijiamini nakujiapisha kuwa endapo ningekufa na ukamilifu wangu mungu angeniteua katika kuwaadhibu wale waliopunguza kile alichowatunuku katika miili yao

Siku moja nikiwa likizo nilianzisha mada mbele ya kaka zangu kuhusu vijana wa mjini na tabia yao yakukata sehem ya mwili wao eti ndio twahara
Kaka zangu waliwacheka sana wakaniambia mtu anae kata hizo sehem anakuwa mswahili na waswahili hupenda kukutana Sana na wanawake lakini Nguvu zao zinakuwa ndogo kwa sababu ya wao kutoa ile ngozi ndipo nilipomkumbuka yule tabibu wa mtaa wa msimbazi na dawa zake za Nguvu za kiume..

Hakika kutokudondosha mkono wa sweta kulinifanya kuwaogopa wasichana niliowapenda hasa baada yakukutana na baadhi ya warembo wa fikra zangu nao baada ya kugundua udhaifu wangu wengine walinigomea kuduu nao na hata wengine kunitoroka ktk vyumba gest baada ya Mimi kuwaonyesha urijari wangu wakutunza tunu ya Manani.

Umri wangu wakuoa ulikuwa ukikimbia kwa kasi huku binti wakukubali umbile langu la mkono wa sweta nikiwa simpati japo niliwapata mabinti walevi wao hawakujari Bali walijari pesa na pombe lakini nilipo warudia Mara ya pili waliishia kunidharili sikuweza kuwatamani tena mabinti wa mjini

Nirudi kijijini nakuwaeleza wazazi juu ya dhamira yangu ya kuoa pale kijijini hakuna binti ambae angenikatalia kwa hadhi niliyokuwa nayo kila familia ilinijua kutokana na usomi wangu
Nilikuwa mtu maridadi nikivaa suti za bei japo usingeweza kujua ustarabu wangu niliouhifadhi katika suruali yangu ya gharama

Baada ya juhudi za familia yangu nilibahatika kumpata binti wakijiji cha jirani baba alipeleka mahari ya ngombe 30 ndipo nilipo kabidhiwa mke

Mwanzoni mke wangu hakujari Mimi kuwa katika hali ile lakini baada ya miaka sita ya ndoa mke wangu alianza kudai kuwa na mkera kwa kuwa Mimi Nina mkono wa sweta

Kwa kuwa jamii yetu mwanaume hakusifiwa kwa kudondosha mkono wa sweta niliamini kuwa mke wangu alikuwa amempata mswahili na kumuonjesha iliomenywa
Japo sikumwambia hisia zangu lakini kadri siku zilivyo kwenda tendo la ndoa kwangu nilianza kulisoma kwenye magazeti nilijitahidi kumuasa mke wangu kuhusu tabia yake hiyo lakini haikuwa rahisi kunielewa na hatimae aliondoka nakuniambia kama nampenda nikadondoshe mkono wa sweta..

Kwa umri wangu huu miaka 48 naona ni kujidharilisha mbele ya Dr
Kiukweli napata shida sana katika hisia zangu naamini kupitia Uzi huu kuna wadau ambao nao walichelewa kushusha japo wengi Huduma hiyo uipata kutoka kwa walezi wao hadi wanakuwa watu wazima hawajui nini kilifanyika hadi wakawa hivyo lakini naamini kuna idadi kubwa tu ya watu ambao wanaishi kwa mfano wangu je nao nini ambacho ukumbana nacho
By R.Nzagamba
ulipomaliza tu nikagundua kuwa ww ni msukuma ila mkuu kaondoe hiyo ki2 itakuepusha na magonjwa mengi tu

sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Pole sana mkuu kwa kadhia unayokumbana nayo.

Mosi: Unaweza kufanyiwa tohara na ikabakia kuwa siri yako na daktari bila mtu yeyote kujua maana siri ya mgonjwa na daktari ni yao wawili.

Pili: Hebu tathmini gharama za kumpoteza mke uanze upya na gharama za kujipa ujasiri na kwenda kwa daktari kwa masaa tu na suala likabakia kuwa lenu wawili????? Hata kama umeajiriwa unaweza kuomba likizo ya wiki 2 zinatosha kabisa wewe kupona.

Tatu: Tabia za mwanadamu / mnyama hubadilika kulingana na mazingira. Sasa, mkeo ameishi mazingira yenye marafiki wanaozungumza hayo mambo, amejifunza na kujua hayo mambo ya upande wa pili (japo yawezekana hajafanya) hivyo, kama ilivyo moyo wa mwanadamu: anatamani kusikia na kuona hicho jipya ambacho hajawahi kuikionja. Usipochukua hatua, atatoka nje ya ndoa na kuonja, hapo ndo utaumia sana na unaweza kumpoteza mke kwa sababu ya jambo ambalo ungechukua hatua ungelimaliza.

Mwisho: Nikupongeze kwa moyo wa ujasiri wa kuandika hili hapa, naomba usijali wanaokukejeli maana si wote walio na uwezo wa kuona jambo ''in three dimensions'', hivyo naomba ufanyie kazi ushauri niliokupa. Nashindwa tu namna ya Ku kupata inbox lakini ningetamani kuonana na wewe ''uso kwa uso'' pengine ningesaidia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu naomba nikusaidie.Mila zipo ila kuna mila zilizopitwa na wakati.Kumbuka hatari ya mkono wa sweta ni raisi sana kupata maambukizi ya ugonjwa wa njia na mkojo na hata ukimwi kutokana na ile ngozi(prepuce) kuwa na uwezekano mkubwa wa kutunza vijidudu.Kuna makabila hapa nchini wanaamini kuwa na sweta ndio utu uzima dunia ya leo haiku hivo nenda na wakati.Nabii Ibrahim alimtahiri mwanawe baada ya siku saba iweje wewe leo miaka zaidi ya 9000 iliyopita bado uko hivo.Usikate tama ndugu yangu huduma hii haihitaji kwenda hospitali wala operation yake sio kubwa una operation inaitwa kuweka kiringi daktari anaweza fanyia nyumbani kwake tu.Vile umekua mtu mzima sio lazima utahiriwe wazazi wako wajua ni siri yako wewe na mkeo.Rafiki yangu mmoja kabila nalihifadhi wazazi wake walimuasa asije tolewa sweta maana ni uswahili ila yeye alichokifanya alivofika kidato cha sita alitegea midterm hakwenda kwao akafanyiwa hiyo kitu na wazazi wake hawakujua mpaka ameoa sasa ana wajukuu
 
Njoo ukatwe kwetu umasaini sisi huku hatulitoi lote inapokatwa ngozi inaachwa kwa chini ikining'inia hivyo huwa kama dushe ndogo ila uhusika sana kumsugua bibi ndo maana wanasema masai tuna dushe 2 kumbe nyingine ni kingozi cha mkono wa sweta
 
Hakuna aibu mkuu wala wewe sio wa kwaza wala hutokua wa mwisho kama kweli unataka nifate nikupe number ya Dr mzuri sana na nimtu mzima,hakuna wakukushanga kwani kila mtu anamalezi yake alio kulia,mimi wanangu wa kiume hua wanafanyiwa kabla hata sijatoka hospital bado vichanga,nenda hata mwenyewe utajisikia huru hapo unajisikia tafran infection hua hazichezi mbali na wewe sio kwa sababau hujisafishi ila ile ngozi inaficha..
 
Back
Top Bottom