Ndoa miaka 11 naomba ushauri


Asante sana kwa ushauri wako nashukuru sanaa ndugu yangu nimeshauriwa muda sana kuachana nae ila sijasikiliza kabisaaa.....ila nashukuru kwa ushauri wako na mwenyewe naona ndoa imekufa mda mrefu sana....
 
Mleta mada KAMWE usifuate huu ushauri.
 
Duu blaza mbona unaishi kinyonge sana? You need to show authority as a man.
Hebu tafuta mahubiri ya mwamposa yenye kichwa cha habari "Mwanaume lazima uwe mwanaume" labda yatakusaidia.

Asante sana kaka nashukuru sana kwa hili na nimekuelewa vizuri kabisaa nitasikiliza wala hamna neno kabisaa.....
 
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa wewe

Mwache arudi kwa Mzazi mwenzie wakalee mtoto wao

Kunguru hafugiki kamwe

Nimekuta wameachana tayari... Na jamaa ana mwanamke mwingine kabisaaa na wamezaa huko aliko kwa sasa sasa hapo kosa lipo wapi hasaa??
 
Mleta mada aishike hiyo namba 3.
 
Hujazaa nae anakusumbuaje sasa,wengi wanahangaika na ndoa kwasababu wana watoto sasa wew huna mtoto nae kinachokufanya uhangaike nae ni nini

Asante sana kwa ushauri kaka nashukuru na nimekuelewa wala hamna neno kabisaa.....Ni kweli nimeshauri hivyo pia vile vile kwa nini naangaika nae wakati sijazaa nae na hatuna mtoto...
 
Iwe ni chai au true story, hivi inakuaje kuaje hadi mkeo anakupiga??? Labda kama ni vile vimakofi vya kimahaba🥰
 
 


Nashukuru sana tena sanaa kwa ushauri nitaufanyia kazi ndugu yangu wala usijali kabisaa kaka nimefurahi sana tena kwa huu ushauri mzuri asante sana kaka na wala hamna neno kabisaa
 
Heeeee kumbe kuna wanaume wanateswa hivyo yaani umerahisishiwa kabisaa hajakuzalia ingekuwa labda ni ngumu kwako kumuacha sasa mtu huna mtoto nae unajiuliza mara 3 chapa rapaa

Wanaume kumbe na nyie kuna mabwege nazi


🤣🤣😅😅😅Ni kweli kabisaa mkuu wala hujakosea kabisaaa upo sawa kabisaa na wala hamna neno hapo inabidi kupiga matokeo tu ndio kitu cha muhimu zaidi....
 

Andaa jeneza lako tuje kukuzika kama hutaki kuondoka, Umelogwa, rudi kwenu Huko kakae na Wazee wako au kama ni muumini mzuri omba Mungu.
 
Ni aidha huyo mwanamke anakulea au anayoyasema ni ukweli mtupu, inashangaza sana licha ya yote hayo bado akili yako haijafunguka kujua ufanye uamuzi gani.

Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu asante sanaaa.....Na pia mwanamke hanilei ila zaidi mimi nina kipato kumzidi yeye....Nimeshajuwa uwamuzi wa kufanya wala hamna neno kabisaa....
 

Unajuwa nimevumilia mateso mengi sanaaa na nikawa nawaza sana pengine ni aibu kwa familia ila moyoni kuna maumivu makali sanaaa tena sio kidogo kwa kweli na nadhanu nimefikia mahali kwa sasa
Asante sana mkuu kwa ushauri wako nashukuru sana ndugu yangu...
 


Asante sana kaka kwa ushauri mzuri nashukuru sana tena sana na nimekuelewa vizuri kabisaa nitaufanyia kazi huu ushauri wako wala hamna neno kabisaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…