Hauna AKILI. Achana na huyo mke wa mtu tafuta wa kwakoNdugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....
Naombeni ushauri wenu tafadhali..
Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Mtoto uliyemkuta naye ni wa kwako?Sasa sina akili vipi wakati nimemkuta mwenyewe na mtoto wa miaka 2 akiwa peke yake au hujasoma na kuelewa hapo??
Akili yako ndogo ndiyo maana hata mwanamke uliyemkuta na mtoto anakuona mjinga. Kwanini ugombanie mwanamke wa mtu na Mume wake tiyari ameshakuonya?Soma nini nimeandika usiniulize maswali ya kipuuzi....Nilishasema nimemkuta na mtoto.
Sijui kuhusu familia yako but kwa wewe kama wewe ni kweli you are an idiot!Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....
Naombeni ushauri wenu tafadhali..
Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Bora ungemtanguliza mbele juzi kwenye maandamanoNdugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....
Naombeni ushauri wenu tafadhali..
Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa weweNdugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto....Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sanaa damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto....Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na luwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.....
Naombeni ushauri wenu tafadhali..
Sasa naombeni ushauri wenu kwa hili swala....Je bora niondoke
Acha uzembe wewe.Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe....Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje...Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka...sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha...Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisaa