Anthony Paschal
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 513
- 10
Dah nimecheka kwa sautimiaka 15 bado wanatikisana
Dah nimecheka kwa sautimiaka 15 bado wanatikisana
Kiwango ni 7800.
Ikiwa ni dharura inaweza kuwa 15600.
Single mothers kuolewa ni suala zito halina muafaka bado.
Umeongea kitu cha maana ambacho wasomi wengi kinawapita kushoto,ndoa nyingi zilizo ICU ni za wasomi hawatofautishi elimu na maisha yake ya ndani ya nyumba.Duniani tunapita ila ukikosea kuona mwanaume mwema na mwenye kiasi utatabika hadi mwisho wako.cha msingi ni kuombea tu ndoa zetu kwani mwisho wa siku watoto ndo wanapata shida baada ya divorceKitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Siwezi kuchepuka, mchepuko atanipenda nikiwa kwako! Siku ukiniacha hawezi nisaidia lolote zaidi ataenda kwa mkewe ama mpenziwe!Hoping huchepuki. Unanilindia si ndio?
Napenda busara zako...!
Ukishapata wazo la kuchepuka tuu jua kuna shida mahali!! Una mume hizo hisia kwa mchepuko zinatoka wapi!Lakini sasa sisi tukichepuka tumemaanisha tunaenda kwa feelings haswa
Kusoma ni haki ya msingi ya kila mtu, kusema kwamba mtoto asisome kwa sababu yoyote ile huo ni uvunjaji wa haki za binadamu.Inamaana binti yako hatoolewa au hatosoma?
Wanawake wengi wasomi wanachanganya academic intelligence na marital life.Umeongea kitu cha maana ambacho wasomi wengi kinawapita kushoto,ndoa nyingi zilizo ICU ni za wasomi hawatofautishi elimu na maisha yake ya ndani ya nyumba.Duniani tunapita ila ukikosea kuona mwanaume mwema na mwenye kiasi utatabika hadi mwisho wako.cha msingi ni kuombea tu ndoa zetu kwani mwisho wa siku watoto ndo wanapata shida baada ya divorce
Kwa mujibu wa mume, mke aliwahijutia kukutana na Mhadhiri hiyo Nov2018 kijijini walikokulia. Mhadhiri alikuwa na mkewe lakini alitoa namba ya simu. Namba ya simu ikarudisha mawasiliano na mambo yakawa bambam.Ndo maana sitaki mawasiliano na ma Exs shetani huanzia hapo ktk mawasiliano
No ila nilichomaanisha ni kwamba 'mahawara hawaachani uwa wanapumzika tu then kuna wakati utatokea wakupasha viporo
Kusoma ni haki ya msingi ya kila mtu, kusema kwamba mtoto asisome kwa sababu yoyote ile huo ni uvunjaji wa haki za binadamu.
Watoto wetu wa kike kusoma watasoma kadri watakavyo na tena tutawasapoti kadri ya uwezo wetu, kama na wao watashindwa kutumia vizuri hizo elimu zao kwenye kujenga mahusiano yaliyo bora shauri zao.
Nusu ya watoto sio wakeMapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.
Alietuoroga kafa
Zinakuja baada ya mtarimbo kulala doro..Ukishapata wazo la kuchepuka tuu jua kuna shida mahali!! Una mume hizo hisia kwa mchepuko zinatoka wapi!
Umekosea sana kuwadharau wanaume wenzio walioa wanawake wasio na bikira,pia elewa kuwa kuoa mwanamke mwenye bikira si kipimo cha uaminifu ktk ndoa,kwanini nasema hivyo mm mwenyewe ni muhanga wa hilo,miaka 18 iliyo pita nilioa msichana bikira ni kazaa naye mtoto mmoja,baada ya miaka2 hivi mwanamke alibadilika tabia ghafla aka Anza kuchapwa na msela nnje baadae nikagundua kujaribu kumkanya hakusikia mwisho talaka.Unaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.
Sijui vijana mtanielewa Lini.
Nimeongea mpaka basi lakini wapi.
Sitochoka kuwausieni
Kweli kabisa, ukishakuwa na destructive thought mwisho wake unakuwa sio mzuri, hivyo ni bora umueleze mwenzio mahali ambapo unaona apapo sawa na sio kutafuta self satisfaction nje ukiamini kuwa upo sahihi bila kumuangalia mwenzio kiasi gani cha maumivu utakachompatia, huo utakuwa ubinafsi uliopitiliza (extreme selfishness)Ukishapata wazo la kuchepuka tuu jua kuna shida mahali!! Una mume hizo hisia kwa mchepuko zinatoka wapi!