Ndoa Inavunjika Hiyo!

Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Mkuu wanawake wengine wanaenda chuo baada ya kuolewa na hao ndo wanatiwa kweli kweli na classmates (ili wawafanyie assignments) pamoja na waadhiri ili wawape marks za bure. Maana majukumu yanawafanya shule inawasumbua hivyo wanaishia kuvuliwaa chupi hovyo hovyo na ili wapate walao grades wasi-disco.
 
Binti yako hakikisha anaishia la saba.
 
Kisomi sana hii, kula like
 
Kaka ukiwaelewa wanawake analofanya huyu mama ni jepesi na dogo sana.. acha kabisa.. akili zao nadhani Hua wanazikodisha mahala Muda mwingine
Huyo mwanamke hamnazo kweli. Ndoa ya miaka 15 na mitoto juu bado anataka amuache mume aolewe na mchepuko!!? Wakati wapo warembo hawajakaa kwenye ndoa hata siku moja? Huyu ni mbinafsi sana
 
La saba ni kapuku?
 
STAMINA PART TWO

MCHEZAJI ATI.N. X WA WIFE .KHA
 
Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Mchepuko ni kama gari ya Serikali, STK...utaipanda kila siku lkn haiwezi kuwa ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…