@jangalaNimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
@Mzigua90
Hapana. Kiporo kimekumbukwa July, 18 walipokutana kijijini. Mhadhiri alikuwa na mkewe. Walibadilishana namba na mambo ndo yakawa Mambo
Bazazi
Kwa hiyo wewe wanao wa kike hutawapeleka shule?Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Waonyeshe wanakopatikana wenye bikra, hivi kwa nini umeweka hiyo avatar? Najua hainihusu ila siipendiii though najua hujali nimetaka tu kufikisha hisia zanguUnaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.
Sijui vijana mtanielewa Lini.
Nimeongea mpaka basi lakini wapi.
Sitochoka kuwausieni
Nani amekuambiaKitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Mzigua, Are You On Market or Off Market?Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.
Alietuoroga kafa
Mzigua, Are You On Market or Off Market?
Haha me ngoja niseme tu kila LA kheriBasi, mtalaka/hawara hatongozwi.
[emoji125][emoji125][emoji125]acha nikatafute wa zamani nijaribu kumpiga ngwara nione kama hatapiga kelele za kuomba msaada
@jangala
Kuna kitu hukukiona. Mgogoro ni wa Agosti 19 baada ya sms kuonekana. Mhadhiri anatuma sms Sept 3. Hauoni anaomba msamaha kwa yaliyotokea? Yaani alitegemea mume hatajua uhusiano. Hakukuwa na mgogoro kabla.
Bazazi
Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Hilo liko wazi, tangu lini mchepuko aache mkewe au mpenzi wake au mchumba wake kisa anaoa mchepuko?!Nani amekuambia
Waonyeshe wanakopatikana wenye bikra, hivi kwa nini umeweka hiyo avatar? Najua hainihusu ila siipendiii though najua hujali nimetaka tu kufikisha hisia zangu
Madem wanazaliwa bila bikraa
Hulka yako tu, unaonekana huwa unafurahi sana mtu asipokuwa comfortable. Haya badili basi kama unajali kweliPale na Koroma ndipo palipo na nazi nzima.
Mkuu umejuaje kuwa sijali ukinambia?
Nimezisikia hisia zako mrembo wangu Khantwe. Sawa Chautundu wangu.
Hulka yako tu, unaonekana huwa unafurahi sana mtu asipokuwa comfortable. Haya badili basi kama unajali kweli
Natamani tungesikia upande wa mke....natamani sana..
15 yrs is no joke...
Na mume amekua muaminifu miaka yote?..tabia ya mume ikoje?..
NitasubiriaNipe siku tatu Khantwe. Nitafanya hivyo kwa vile ni wewe.
Njoo PM Chapu
Nitasubiria