Saikolojia eeh, usiongee hayo mambo ishanikutaga hio hali! Dem nahisi alikuwa na jini mahaba!
Alfajiri ya saa 11 sina tatizo lolote yani niko fiti mashine iko hewani kwa kasi ya 5G. Unavuta mtoto anagoma goma anaamka ile unataka uweke ukuni unasinzia kabisa kama mlenda yani.
Mtoto akiamka kujianda kwenda Job tu alikuwa muajiriwa basi mjuba mambo yanajipa tu! Ile hali haikua ya kawaida ila ukitest kwengine show kali. Nikaona kweli uchawi upo na yule binti hatukuwa na maelewano tena tuliishia kumwagana tu!
Aahh mimi aina ya wanaume kama wa mtoa mada ndiyo nawapenda kwa kweli. Sijui hata nitawapata wapiSasa sindio atafte ufumbuzi wa tatizo hilo au nawewe nikikuoa utachepuka
Ina maana sijaelewa vizuri yani au wanaume wasiopenda tunda😂?Aahh mimi aina ya wanaume kama wa mtoa mada ndiyo nawapenda kwa kweli. Sijui hata nitawapata wapi
Haki ya naniMataifa ya Wenzetu huwa wanakuja kujifunza Unafikiii kwetu
Itakuwa hujaelewa! Ee wanaume wasiopenda tunda!Ina maana sijaelewa vizuri yani au wanaume wasiopenda tunda?
Duh, safari ni ndefu kwa kweli🥸Itakuwa hujaelewa! Ee wanaume wasiopenda tunda!
Ni shida huyu shirima
Duh..Ila hii aihitaji kukupa pole maana ni history.Msaidie mdada huyu anateseka sn mzee babaAmna nilishamkunja sana sema aliingiwa na spiritual husband
Huu uzi ungeletwa na Me anaomba ushauri bikra ingeandikwa,bila kusahau Single Mama n.kHaki ya nani
Dada unaelewa maana ya ndoa au unadhani ni makaratasi tu?Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Toka mwaka jana August ulikua unafanya nini kuondoa mihemko ya mwili?Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala
Atafunguliwa tu huko nilishamwambiaDuh..Ila hii aihitaji kukupa pole maana ni history.Msaidie mdada huyu anateseka sn mzee baba
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Swali zuri sn hili doctor mahondawMnavoishi humo ndani dudu yake huwa unaichungulia hata kwa kuizoom tu?? Vipi mkilala humgusi gusi dudu ???vipi hata kwa mbali umeshaiona imesimama??
Kwahiyo hata siku mmefunga ndoa hakukubandua? Basi hiyo ndoa ni batili achika mapemaTulikua tuna do vizur wala skuwah his utofaut hata kidogo, baada ya posa akastop na skuuliza nlihis anasubir swala la ndoa lipite kwanza lakin hata baada ya ndoa nkaona kimya ndo nkaanza kumuhoji ili nitambue shida nn majibu hakuna zaid ya kusema ana stress za madeni
Acha kufananishia chakula mboga kisamvu na mambo ya kijinga, naomba uwaambie na wenzako kisamvu kufanisha na kinyesi mkome.Hilo linawezekana kabisa,
Mwanaume akishaanza kuliwa kisamvu Cha kopo, kule chini hakusisimki kabisa.
Hahahaaa... Mi nnavotaniana na mume wangu ningemgusagusa mpaka! Wee Mambo gani 2 years dahhh!