Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Duuu!
 
Wewe chepuka maisha yenyewe mafupi au mvizie akilala umbake, then uchepuke upate mtoto
Mwenzako yupo kwenye critical situation, ingekuwa swala la kuchepuka huenda hata asingekuja hapa. Naamini anahitaji ushauri wa kujenga, hata kama iwe divorce lakini naona anahitaji ushauri wa kumjenga zaidi.

Kitendo cha jamaa kukaa miaka miwili bila tendo kinafanya yoyote ajiulize maswali mengi, binafsi hata majibu yanakuwa machache, turned into gay na mambo ya kishirikina, zaidi ya hapo sioni sababu nyingine. Stress/depression gani hiyo miaka miwili.
 
Unaomba lakini?? Maana mambo mengine sio unayaleta humu na hata Mungu hujamshirikisha nenda kaombe kwanza kwa Mungu wako ukiona ameshindwa ndio uje tukupe ushauri
 
Cha msingi mpe talaka mumeo, ndoa itenganishwe utafute bwana mwingine uolewe nae, maisha yenyewe mafupi, utamsubiri mpaka lini? Fikiri tena, na uchukue uamuzi wa moja kwa moja na usirudi mezani kwa makubaliano.
 
Ushauri wa kujenga ni kwa Kuhani Musa tu ama apande boti aende pemba😅 jamaa atakuwa alimsaliti demu wa mwananyamala akamnyoosha😁
 
Duh kwahyo na wewe uliwaambia ndugu kuwa mumeo hafanyi kazi hukuona aibu Ili umusitiri utafte ushauri kwa watu wazima wasio wajua maana hyo tu imeshaharibu kabisa saikolojia yake mazima
 
Hizi familia tunazoji sogezamo ni za kuwa nazo makini sana yani! Familia zenye washirkina huharibia sana watu maisha
 
Yani mke anakubinulia tyako for two good yrs wewe unamwangalia tu, tena alale na ki night dress chake kwa miaka miwili anakusogezea...hiiiiiiiii!! Hata kama ni msongo dadeq, kuna siku huo msongo utakata na utamnyandua tu, hata kama ni sukari, kuna siku msukumo wa damu utajaza kichwa cha chini utapiga hata tyako kumi....

Hapo ipo namna! Kama hayupo wazi, hataki mshirikishe wadau wa karibu...ndoa ya nini sasa, vunja ndoa hiyo uanze tena upya. Mpe ultimatum, aseme nini shida mtatue, anyut uanze mbele. You're so young kutofurahia maisha, bila kunyanduana hakuna ndoa, stress za maisha ya ndoa zinapinguzwa kwa kiasi kikubwa na utam hakyanani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…