Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Hapo siyo bure inahitaji akili ya ziada .hakuna stress za ivyoo kuna pepo kalushiwa shida yake mme wako hasemi ukweli katika pitapita zake .anakufa na tai shingoni
 
Watu hawajuani wanakutana leo na leoleo wanapelekeana Moto,

Wewe kabala ya uchumba sijui ni muda gani mlikuwa pamoja na Nini kilitokea,
Baada ya kuchumbiwa miezi 8+ jumlisha na muda toka mfunge ndoa miezi 16+ hebu kuwa siriazi.

Kama Yuko stressed alikuwa anaoa ili iweje? Na wewe elimu inatakiwa ikukomboe!
 
Pole sana...endelea tu kumuomba Mungu atakupa majibu yako. Yaani hata ishara kama uendelee na hyo ndoa au la. Au mtishie kuondoka kama hataki kukuambia tatizo alilonalo, kama anakupenda kweli atakuambia tu.
 
Kwahiyo Zaga bado liko silid au kuna wana washalibomoa?
 
Je wakati mmelala haujawah kuona dushe limesmama....?kama limesmama bas hana shda ila kama haujawah ona bas may be kuna shda...better umushawish mwende hospital

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hapo Kuna tatizo dadangu

Jaribu kumfuatilia nyendo zake kwa Siri kubwa mfano simu yake rafk zake maeneo anayopenda kutembelea utapata kitu tu

Je unapomgusia swala la kusex huondoka nyumban siku3 huenda wapi siku hizo zote?

Miaka 2 n mingi dadangu na muda.wa kuzaa n huu

Fuatilia nyendo zake utaujua ukwel tu
 
Pole sana...endelea tu kumuomba Mungu atakupa majibu yako. Yaani hata ishara kama uendelee na hyo ndoa au la. Au mtishie kuondoka kama hataki kukuambia tatizo alilonalo, kama anakupenda kweli atakuambia tu.

Anataka watoto wa kumzalisha hana time for two year amwombe Mungu amjaze mimba kama bikira Maria!
 
I dated him for 4 years before marriage , and we used to have sex normally with no doubt tatizo lilianza after posa,
 

Ushauri mwingi utakuchanganya pata kidume zaa nae mbambike haina zambi
 
Pole sana...endelea tu kumuomba Mungu atakupa majibu yako. Yaani hata ishara kama uendelee na hyo ndoa au la. Au mtishie kuondoka kama hataki kukuambia tatizo alilonalo, kama anakupenda kweli atakuambia tu.
Nilishaondoka akanywa sumu akawahishwa hospitali na tukawekwa kikao akajib atakuwa sawa, unajua sometimes inakufanya ujiskie vibaya kila siku kuwapigia kelele ndugu juu ya tatizo la ndoa yako na mtu wao mwisho wa siku wanaamua kukausha,. Nshafanya effort nyingi sana juu ya hili tatizo
 
Hebu mtafute mlezi wenu wa ndoa. Kuna mambio siwezi sema hapa
 
Life is too short to drink bad wine.

I always advocate for marriage, I love seeing people married and happy....

Ila in your case shirikisha wazazi, or church... if it doesnt work out find a way out.

Marriage is beautiful, but there is nothing more beautiful than looking into the eyes of a little human you gave birth to.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…