Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Nshauliza sana tena kwa unyenyekevu, wala sjawah kushout, hata kuna mda akilewa ananambia we mwanamke ubarikiwe pamoja na madhaifu yang sjawah ona ukinisema vibaya
Hapo kwenye madhaifu ana madhaifu gani
 
Duuuh
 
Possible
 
Hapo kwenye madhaifu ana madhaifu gani
Ndo inapotakiwa watu wajue hayo madhaifu, mie nilichowaza, huyu mwanaume ana madhaifu binafsi na ya siri sana ambayo hapaswi yeyote kujua, maan km n magonjwa, msongo wa mawazo, au matatizo mengine ya kiafya, siyo ya kuficha.

Huyu dada amchunguze vizuri mumewe, atagundua kitu tyuuh.
 
Miaka miwili ni muda mrefu saana. Ila stress Zinachangia. Mimi ninaweza kukaa mwezi na kitu.
 
Nyie wote ni machizi. Miaka miwili bila sex mume na mke na mpo pa1, mpelekwe milembe.
 
Huyo kaamua kuwa baba yako mzazi kwahiyo tafuta mwanaume mwngne alaf walete posa na barua ya uchumba wampe huyo jamaa kama mzazi wako ili uolewe uende sehem nyngne ukaanzishe maisha yako
 
Sasa we si ufunguke kila kitu?... Wewe story yako umeificha ficha sasa sisi tutajuaje


Funguka kila kitu usaidiwe
 
Haha..!
Mimi na Noelia hatuwezi hili jamani, Watu tunataka show iwe show kweli, jizooooz..!!
Nimesoma mada kiukweli mimi binafsi siwezi,, miaka 2 bila bila Kwanza mtoa mada tumjengee sanamu lake kwa uvumilivi huu,,, kabisa dume uko nalo pembeni lakinj halina maajabu,,yeleuwiiiiii inahitaji roho mtakatifu
 
Rudini mkapime afya zenu huenda akawa anakunusuru na umezaji vidonge kila siku hivyo usimlazimishe hiyo kitu ana mengi kayaficha moyoni
Kwamba anamuonea huruma asije kumpa AIDS uwii...kwa jinsi wanaume wana roho mbaya, akipata ngwengwe anasambazia hata maex wote
 
Nimesoma mada kiukweli mimi binafsi siwezi,, miaka 2 bila bila Kwanza mtoa mada tumjengee sanamu lake kwa uvumilivi huu,,, kabisa dume uko nalo pembeni lakinj halina maajabu,,yeleuwiiiiii inahitaji roho mtakatifu
 
Kweli wanawake hawapendanj, asilimia kubwa wanaompa moyo mtoa mada ni men and women ndo wa kwanza kumnanga na kejeli.. Anyway, bibie usichukulie kila kitu serious humu ndani kuna watu wana stress mara mia yako wanazimalizia kwa keyboards hapa
 
Reactions: 5ty
Jamaa ni handsome ana sura nzuri yani cute boy ?

Usiache kuomba usiku na mchana kisha shirikisha wazee wenye busara pande zote mbili , mzungumze nao wote wawili baada ya hapo itapata majibu na kujua nini cha kufanya!
 
Reactions: 5ty
Pole kwa changamoto unazopitia nafeel vile unajifeel japo me ni kinaja bado na sijafanikiwa kuoa ila pia kajifunza mengi ili siku nikioa niweze kukabiliana na kila hali ushauri wangu Muombe mwenzio muende hospitali kucheki anatatizo gani hasa kwani mwegelo kwenye ndoa ni kitu sensitive sana na ndo kinachoshikilia ndoa bila kupigwa dushe vizuri hutaona raha ya kuwa kwenye ndoa hivo chukua hatua ya kumbembeleza afunguke ukweli kwani kweli itamuweka huru sana me nazijua baadhi ya familia zinaishi na baba hasimamishi kabisa ila mama anajiongeza nje anapata watoto na mzee analelea bila shida na heshima ipo pale pale tu.ila sijajua kwa upande wako kama huyo mwamba ataweza kuruhusu ilo maana ukweli kugegedwa ni muhimu sana na kuna raha yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…