5ty
Member
- Jun 16, 2019
- 50
- 174
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu naomba nilete jambo langu mnishauri naombeni msaada wenu wa kimawazo
Mm ni mwanamke umri 28 ni mwajiriwa serikalini, nimefunga ndoa mwaka jana august, mm na mwezangu tulkua tunaishi vizur bila shida yoyote ile ya kimwili wala ya kiroho, mwaka 2019 mwez 12 alipeleka posa nyumbani toka mwaka huo hadi hivi leo sijawah kutana kimwili (sex) na tunalala kitanda kimoja, nkimgusia mwezangu swala hilo anakuwa mkali na ni ugomvi, nililiwasilisha kwa ndugu na wadhamni wa ndoa anadai anastress za kimaisha apewe mda atkaa sawa, kinachonitesa ni kwann hataki kuwa muwazi kama kuna shida tuitatue kwa pamoja kama mke na mme, ila tunaish kwa amani, kwa sasa nna ham kubwa sana ya kuwa na mtt lakin naona naharbika kisaikoljia kabisa.
Imefkia hatua nawaza kuchepuka nakimbilia two year without sex! Nashindwa ntatue kwa style gani, maan nikijaribu kuanzisha hii mada anakimbia na nyumban kabisa hata sku tatu anaeza asionekane.
Naombeni mawazo jins ya kitatua hili swala