Ndoa inanimaliza!

Kaka nisamehe kidogo. Mimi sina dawa ya kuchua bali ni ya kunywa, hivyo ushauri wangu waweza ukawa mchungu kidogo. Naanza kwa kunukuu hayo maneno yako mwenyewe. Umekiri kuwa hakuna hata hamu ya hayo mengine!! Sijui weye ni mtoto mdogo au ni mtu mzima.
Mtoto hupatikana kwenye hayo mambo mengine!!! Bila hayo, hakuna mtoto labda wa kimaabara. Weye ndiyo kikwazo kaka. Huenda hata jamaa za kwako ndiyo wanamsimanga mtoto wa watu. Acha kusikiliza vya pembeni. Kama weye ni mzima, mbegu zako saafi za afya, na yeye kadhalika, iweje usimpate huyo mtoto?
Amesha athirika kisaikolojia, sasa unatakiwa weye mwenyewe umwandae vizuuri kwa kumtoa out kidogo, mnunulie kanguo kazuuri sana ka ndani (kufuli) sio kwamba hana, lakini hili unamwambia ni very special kwake. Mpe ruhusa kuufungua moyo wake kwako. Haya hayaji kwa siku moja tu.
Taratibu, umwambie unampenda yeye kuliko chochote. Si mtoto wala mjukuu anaye zidi pendo lako kwake. Mthibitishie kuwa, hata kama hamtapata mtoto, yeye ndiye bora kwako. Akikuamini, utashangaa, ataanza kutaapika na kula udongo na embe changa sasa hivi.
Mwandae mkeo

Yaani huu ushauri ni afadhali hata ya punguani kukushauri maana umeongea out of topic kwa 100%! Kama hujaelewa somo bora kuacha tu kuliko kupoteza muda kijinga namna hii!:crying:
 
Yaani na yeye akinigegeda anahakikisha ananikuna hasa as anataka kuonyesha uanaume wake tukitoka hapo hoi vijasho kwa mbali na usingizi hakuna mnuno tena Majaribu2013 upo?
Mpe hongera zake bwa-shemi! Hata akinuna ila lazima agegede? Hapo lazima hasira zimuishie!
 
Last edited by a moderator:
Ushauri umefanyika sana na hata kupima tumepima wote zaidi ya mara 3 daktari alisema hatuna shida. sina muda na wala sijawahi kulizungumzia hili suala katika negative side zaidi ya kumtia moyo tu kuwa ipo siku mungu atattenda. nimejaribu sana kuwa rafiki yake lakini wapi
Humkamui vizuri
 
#Majanga ,

Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za kitoto. akinuna inamchukua hata wiki moja hadi mbili kurudi kwenye hali ya kawaida. kibaya zaidi sasa ni kama amezidi maana hapati kabisa kurudi kwenye hali yake, ukifika wakati amenza kurudi kwenye hali yake ghafla anajikwaza tena na kununa hivyo muda wote sasa amenuna. nasikia maumivu makali sana moyoni juu ya jambo hili, nahitaji kufanya maamuzi magumu lakini sijui njia ya kufuata.

ushauri wako utanisaidia

Usilazimishe maji kupanda mlima bhana! mpe masaa arudi katika hali ya furaha na utengamano hawezi akapumzike anakoona atapata furaha!! hawa wanawake sasa wanageuza mioyo ya sisi wanaume kuwa pickup au stout za kubebea maumivu!! BE STONG
 
Don't take them too serious (wanawake) pasua kichwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mlijuana na kufahamiana kabla ya ndoa ama ndo yale yale ya wenzetu kuficha makucha na kuyakunjua ndoan?,pole lakin ushauri wangu jifunze namna ya kuishi na mtu mwenye gubu,inawezekana tatizo alilonalo shem wetu Mungu kaona wewe pekee ndo unaeweza kulitibu na naona kwa kuja hapa umeanza chukua hatua.
 
#Majanga ,

Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za kitoto. akinuna inamchukua hata wiki moja hadi mbili kurudi kwenye hali ya kawaida. kibaya zaidi sasa ni kama amezidi maana hapati kabisa kurudi kwenye hali yake, ukifika wakati amenza kurudi kwenye hali yake ghafla anajikwaza tena na kununa hivyo muda wote sasa amenuna. nasikia maumivu makali sana moyoni juu ya jambo hili, nahitaji kufanya maamuzi magumu lakini sijui njia ya kufuata.

ushauri wako utanisaidia

aisee hata mimi ningekua mkeo ningenuna!ninavyosoma thread zako humu za kupondea wanawake inawezekana huyo bibie nyumbani unampondea sana..halafu una mawazo hasi dhidi ya wanawake....
Kaeni chini mzungumze..kumbukeni siku zenu za furaha na mjaribu kuzirudisha!
 
Jaribu kuwa nae karibu na kumweleza jinsi unavyompenda na kwamba hauna mpango wa kutoka nje ya ndoa ili kupata mtoto.Fikra zake zinamtuma kwamba unatoka nje ya ndoa ili ujipatie mtoto
 
Mimi ukinuna mimi ndio naongeza mnuno mara saba hata kama sijui umenuna nini ukijichelekesha na mimi naunga tela hapo hapo maisha yanakwenda.sinamuda wakusumbuka na mtu nliyekutana naye kwenye twenty's .mimi kazi nakuungia tela.mimi sina tabia ya kununa nakuchana live imetoka.ikinuna na mimi nanuna
 
Huyo mkeo dawa yake sio kumuacha bali ushauri

Kwanza jitahidi kuwa rafiki yake na kama suala hilo la kutokupata mtoto unaliongelea sana punguza na ikiwezekana acha kabisa kuliongelea na jitahidi kuwa karibu yake kisha nendeni kwenye kituo cha afya mkapime ili mjue tatizo liko wapi na mkijua mlifanyie kazi

Kama mkikuta hakuna mwenye tatizo jitahidi sana kutokulizungumzia hilo katika hali hasi,mpeleke kwa wataalam wa ushauri na atakuwa bomba tu

Malezi yametuharibu sana kuhusiana na suala zima la kuzaa na kupata mtoto
Mtu akiwa hana uwezo huo huonekana kama amepungua ubinadamu wake kwa 70% hivi
Ujinga huu sijui utaisha lini

Katika mambo ambayo hayaniumizi akili ni hili!

Na kweli ila cha msingi kwa vyote mfanye yeye ndiye rafiki wa kweli na wa karibu kupita wote...ukitaka kucheka ni yeye ndiye awe sababu ya wewe kucheka na mtaishi kwa aman na hata watoto mtawapata...mimi nina miaka 3 ya ndoa,wife alibahatika kupata mimba mbili na moja mtoto alifariki siku ya kujifungua na ya pili akafariki akiwa na miezi nane tumboni....na yeye alikuwa na tabia kama ya wife wako lakini amebadirika sana baada ya mimi kumfanya yeye ndiye rafiki na akalijua hilo...so mpaka leo we're living a happier life hatuwazi hata hao watoto
 
Usikute ana spiritual husband ,muombe ili limtoke na usikute ndio linamyima mtoto.kama unaamini anzeni kuomba na kufunga kwani ukicheza litasambaratisha ndoa ,kukutia umaskini na mambo mengine mengi.

Yaap kuna uwezekano mkubwa sana wa kuwa na spiritual husband katika mzingira kama hayo. Hapo amani upendo furaha na mafanikio kiuchumi yatadhoofoka sana katika hiyo familia
 
Yaani huu ushauri ni afadhali hata ya punguani kukushauri maana umeongea out of topic kwa 100%! Kama hujaelewa somo bora kuacha tu kuliko kupoteza muda kijinga namna hii!:crying:

ushauri walke mzuri tatizo kaenda nje ya mada alitakiwa amshauri nini afanye either mkewe aache kununanuna au afanye nini ili ajipunguzie na yeye stress
 
Usilazimishe maji kupanda mlima bhana! mpe masaa arudi katika hali ya furaha na utengamano hawezi akapumzike anakoona atapata furaha!! hawa wanawake sasa wanageuza mioyo ya sisi wanaume kuwa pickup au stout za kubebea maumivu!! BE STONG

Jaman tukumbuke hata wazazi wetu wamepita humo humo...ndoa ni kukubaliana katika shida na raha...sio kufurahia kugegeda tu bali hata katika karaha pia..cha msingi sio kutengana bali ni kutafuta suluhu...suluhu ya kweli hupatikana kwa wanandoa wenyewe na si nje...kaeni mlizungumze mtafikia mwafaka
 
Aahhhghhhhh!!!! ameshabembelezwa mwezi mzima bhana! tatizo wanasahau hata sisi wanaume ni watoto watu bhana kubembelezana ni half by half akijifanya jiwe una play tit for tat is a fair play!
 
Take it from me myself and I; mvumilivu hula mbivu, kumbuka ujana ni maji ya moto fainali uzeeni

Atambaye leo msamehe kwani hatatamba Milele
 
Mkuu ujue tatizo hilo ni serious acha utani, hii kitu ikitokeaga kwangu aisee huwa napata mtihani mzito sana, tena ukute nyumbani kuna mgeni wa muhimu kama vile mama hivi kawatembelea, aisee... nyumbani hapakaliki, ofisini utendaji wako unazorota... unaweza ukazianza bia asubuhi usipokuwa makini!

Hamna utani hapo ndugu, watu wenye magubu ya hivo wapo, sasa ukijifanya unaconcentrate nae ndo anazidisha uchizi thats why nimekuambia akijifanya bubu we kuwa kiziwi na kipofu ukijali sana nae anazidi
 
Back
Top Bottom