Ndoa inakubana na unahitaji devorce. Usijidanganye..!

Hata kama unakaribia kufia kwenye ndoa uendelee tu kuumia huko kwa sababu unaogopa mbeleni kitatokea nini?
Duh maisha mafupi kutesana na kupeana Presha za uzeeni
Ndoa tuheshimiane ,tusaidiane ,tusameheane tunapokosea..tunapotoka kwenye mstari tukumbuke na kurudi haraka
Lakini yote hayo yakishindikana ni kuchukua hatua...
asante sana mdada kwa ukweli huu hawa ni watoto wadogo hawajakumbana na misukosuko ya maisha wanatoa concusion za kiprimary au za kimjini mjini tembea na hakikisha unafanya research sio unakuja na mada mfu kama hii eti ukitoka kwenye ndoa unakwenda kwa shetani what a nonsense!!!!!!!mambo ya ndoa yaacheni ukiwa na wanandoa saba ni sawa na kuwa na rangi saba tofauti kabisa in appearance ,jinsi zinavyojiendesha na kukabiliana na matatizo yyt,ni vitu viwili tofauti kabisaaaa sasa huwezi kujeneralize neno "ndoa"
 
kichwa kibovu who tell u unakwenda kwa shetani wewe ndio wale waumini wa zile dini zinazochipuka kama uyoga eeee

Pamoja na kichwa changu kibovu......!!
Wewe uliye na kichwa safi toka kwenye ndoa uone utakavyochakazwa na shetani.....!!
Shetani kakuziba akili hata huoni unapoelekea....!!
Ukishachakazwa ndo utazinduka......!!!
Endelea kuikimbia ndoa yako ukakutane na mdudu huko mbele.........!!!
 
asante sana mdada kwa ukweli huu hawa ni watoto wadogo hawajakumbana na misukosuko ya maisha wanatoa concusion za kiprimary au za kimjini mjini tembea na hakikisha unafanya research sio unakuja na mada mfu kama hii eti ukitoka kwenye ndoa unakwenda kwa shetani what a nonsense!!!!!!!mambo ya ndoa yaacheni ukiwa na wanandoa saba ni sawa na kuwa na rangi saba tofauti kabisa in appearance ,jinsi zinavyojiendesha na kukabiliana na matatizo yyt,ni vitu viwili tofauti kabisaaaa sasa huwezi kujeneralize neno "ndoa"

Toka kwenye ndoa uchakazwe.....!!!
Alichokiunganisha MUNGU, binadamu asikitenganishe...!!
Wewe ni nani mpaka upinge MANENO ya MUNGU aliyekuumba....?
 
pamoja na kichwa changu kibovu......!!
Wewe uliye na kichwa safi toka kwenye ndoa uone utakavyochakazwa na shetani.....!!
Shetani kakuziba akili hata huoni unapoelekea....!!
Ukishachakazwa ndo utazinduka......!!!
Endelea kuikimbia ndoa yako ukakutane na mdudu huko mbele.........!!!
aliyekunywesha hiyo sumu nenda akutapishe
 
ni yesu mwana wa mungu ......

Sihitaji kuitapika nahitaji inikolee zaidi mpaka nikuambukeze na wewe.......!!

umekunywa mpaka kupitiliza umekunywa gongo sivyo ulivyoelekezwa yesu hawezi mpa mtu mwenye akili za ajabu kama wewe christian never argue foolishly
 
Shetani amekuziba macho ndiyo maana unaona ni ujinga.....!!!
Ngoja uchakazwe sana ndo utazinduka.........!!
 
sasa una ushauri gani?kuhusu kuchakazwa? maana naona akili yako iko waruaru sana,achaneni na hayo makanisa ya ufufuo yanayoota kama uyoga ,ndio yanaaribu akili namna hii ,
 
Ushauri ili usichakazwe fuata neno la bwana na ulilie ndoa yako uiweke mikononi kwa MUNGU.......
Ukiendesha ndoa kwa akili zako utafeli.....
Epuka kuchakazwa.........!!!:wacko:
 
ushauri ili usichakazwe fuata neno la bwana na ulilie ndoa yako uiweke mikononi kwa mungu.......
Ukiendesha ndoa kwa akili zako utafeli.....
Epuka kuchakazwa.........!!!:wacko:
angalia watu unao wapa ushauri je wanamatatizo yandoa ?sio unabwabwaja tututu unapoteza calors bure tafuta wenye matatizo ya ndoa uwahubirie ,unakazania utachakazwa !!!!kwani binadamu si lazima ufe bana hata kama hujachakaa? Pole mkuu sana umelewa gongo vibaya sana
 
Inavyoelekea na michano yako ya mistari ni kwamba ni mmoja wenye matatizo ya ndoa.......!!
Epuka kuchakazwa, utachakazwa na kukiona cha moto na kufa ufi........!!!
Palilia ndoa yako na uiweke kwenye sala zako ........!!!:spy:
 
Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too.
 
nina ndoa imara yenye amani na mafanikio,mwenzi wangu sikupewa na binadamu alinipa mungu mwenyewe ndio sababu nashangaa unapiga kelele za kurekebisha ndoa ,kama ulipewa na wanadamu endelea na makelele.
 
angalia watu unao wapa ushauri je wanamatatizo yandoa ?sio unabwabwaja tututu unapoteza calors bure tafuta wenye matatizo ya ndoa uwahubirie ,unakazania utachakazwa !!!!kwani binadamu si lazima ufe bana hata kama hujachakaa? Pole mkuu sana umelewa gongo vibaya sana

kumbe we mlevi paka huku unaandika utumbo
 
nina ndoa imara yenye amani na mafanikio,mwenzi wangu sikupewa na binadamu alinipa mungu mwenyewe ndio sababu nashangaa unapiga kelele za kurekebisha ndoa ,kama ulipewa na wanadamu endelea na makelele.

Kwa hiyo unataka wenzako ndiyo waharibikiwe na ndoa zao zivunjike wakati ya kwako ni Imara...?
Toka basi na wewe kwenye ndoa uone utakavyochakazwa....!!!
eeeh kumbatia ndoa yako na uzidishe uimara!! ukiivunja tu unaenda kuchakazwa....!!!!
 
Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too.

Hahahahaa ....heheheee... utaipenda sanaaaaaa...!!!
Palilia ndoa usije kuiacha ivunjike ukaenda kuchakazwa.....!!
 
Me nasuport hiyo mada asilimia mia....hata wanawake tukipinga ukweli utabaki pale pale MUME MBAYA SI HAWARA MWEMA

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kwa hiyo unataka wenzako ndiyo waharibikiwe na ndoa zao zivunjike wakati ya kwako ni Imara...?
Toka basi na wewe kwenye ndoa uone utakavyochakazwa....!!!
eeeh kumbatia ndoa yako na uzidishe uimara!! ukiivunja tu unaenda kuchakazwa....!!!!
nawiwa kusema una upumbavu unaokusumbua kichwani kwako hauko vizuri wewe umeachwa nini.
 
Kuna msemo mpumbavu humuona muelevu mpumbavu...!!
Tafakari chukua hatua........!!
Palilia ndoa yako isivunjike, maana ikivunjika utachakazwa balaaa.........!!
 
Back
Top Bottom